Watu wengi wa karibu na trump wanasema Trump hakutegemea angekuwa nominee na alikuwa anataka kwaweka wanae kuwa wana siasa .Trump na ambassador joe Kennedy wanafanana sana kibiashara na tabia .Wote ni wafanyabiashara wakuogopesha watu .Kennedy alikuwa anauza whiskey illegal USA na entertainment business Hollywood .Trump ame jikuta nominee .Watu Wamechoka na wanasiasa huko Tanzania CCM jasho liliwatoka vile ile ,brexit.Liberal Michael Moore amesema " Trump will be elected ".