Trump:US not involved in Iranian Satellite launch failure

Sawa yamefeli,lakini watajaribu tena,watajaribu tena,na tena na tena hadi watakapoweza kufanya wanachokitaka na hicho ndio kitu kizuri kuliko vyote kuona watu wanajiinua kutoka chini.Bora kujaribu na kukosea kisha kujifunza kuliko kutokufanya.Au unaamini kwamba maisha yao yote hawatofanikiwa kitu walichofeli leo?au kufeli kwao ni furaha kwako?kama ni furaha kwako sababu ni nini mdugu yangu.
 
Kwa hiyo wewe na nchi yako mmefaidika vipi na kuferi majaribio hayo?
 
Walishajaribu kurusha sattelite na ikafanikiwa sio mara moja kwahiyo hii ya leo sijashangaa kufeli ni jambo la kawaida hata USA zao zinafeligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…