Trump hawezi ivamia ndg, NK wapo vzr sna, achaana na CNNNaam huyo ndiye mwanaume; akinena dunia nzima kuanzia kwa magaidi ya kiarabu, Iran hadi kwa Warusi huko inasemezana "kasema nini"! Kim akijifanya kichwa ngumu atafanyiwa kitu cha aibu hataamini.
hahahahahah jf raha sana.Nani kakwambia sipati kila nachokitaka? Mbona unapenda kujifanya unajua kila mtu wewe??? Kwanza unanijua hadi ufikirie kuwa jamaa katuzidi hela ukoo wetu wote???
Jamaa anamasihara sana huyu anafikiri trump unakula ubuyu wa shilawadu ehhahahahahah jf raha sana.
mkuu katika ukoo wenu mna hela kumzidi DJ TRUMP??
kwa kim ni manka au Nalendwa mkuu mchumba hadi tuombe definitionHuyo kwa Kim mchumba tuu
US President Donald Trump has urged North Korea to "come to the table" and discuss giving up its nuclear weapons.DA MZ
DA Mzee mzima anaadhirika hivihivi,sasa dunia nzima imeshamjua kuwa kagwaya,maana kila siku anabalisha sentensi,kwisha habari yake.kubwa zima LINATAKA MECHI KWA KUVIZIA,ameangalia kuishambulia NK kwa kushitukiza kaona wenyewe hawajalala.
Kachoka kakimbilia china kwenda kushangaa !!Jana BBC wanasema jamaa (TRUMP) kaomba Poo ya mazungumzo!
Vita sio marede kiasi kwamba ukiingia utatoka salama unaweka ukashinda ila damege utayopata yaweza kukucost miaka na miakaDA MZ
DA Mzee mzima anaadhirika hivihivi,sasa dunia nzima imeshamjua kuwa kagwaya,maana kila siku anabalisha sentensi,kwisha habari yake.kubwa zima LINATAKA MECHI KWA KUVIZIA,ameangalia kuishambulia NK kwa kushitukiza kaona wenyewe hawajalala.
[emoji23] [emoji23]kwa kim ni manka au Nalendwa mkuu mchumba hadi tuombe definition
Haiwezekani mkuu wamegonga mwamba !!Uzuri washauri wake washamwambia NK haingiliki kwa anga labda wajaribu kuingia kwa ardhini na USA hana record nzuri vita vya chini!..Amtume gwajima tu
kwa kim ni manka au Nalendwa mkuu mchumba hadi tuombe definition
US President Donald Trump has urged North Korea to "come to the table" and discuss giving up its nuclear weapons.
Hana meno mkuu
Ameshindwa kufika DMZ,
helcopter zilishindwa kuonana,mapilot wakaamua kugeuza,alikuwa akienda na convoy la helcopter tano,
baadae walipotua,Trump alsisitiza lazima afike pale,akakaa kwenye gari saa nzima kusubiri mvua ikate,
haikukata,
mda wa ratiba ya kuhutubia bunge ukafika,Trump akawa hana jinsi zaidi ya kurudi town,
marais tangu enzi za reagan wamekuwa wakifika DMZ,
Sasa sijui ni gundu ama kim ameroga mvua inyeshe
HahshahahahahaAmeshindwa kufika DMZ,

Labda ni kaka wa Mohamed Dewji jombaa au Mdogo wa Rostam Aziz maana Aziz mwenyewe anagonga dola Bilioni moja ukiweka na ukoo wao Lazima Trump akaehahahahahah jf raha sana.
mkuu katika ukoo wenu mna hela kumzidi DJ TRUMP??