Unafikiri vita ni sawa kama unaenda kumfumania mkeo gest unakurupuka tuHuyo namfananisha na MAJOKA ya huku Bujora makumbusho makubwa kweli yanatisha ila hayang'ati yanakula Unga tu na Maziwa ni sawa na huyu Mwendawazimu Trump maneno mengi tambo nyingi ila kuyafanyia kazi maneno yake anashindwa kwa sababu anajua fika KIM JONG UN anatumwa na wakubwa kumchokoza
Astakafulillah.. .. Kaka hata kama hatukujui ila tz hakuna wakumfikia trumpNani kakwambia sipati kila nachokitaka? Mbona unapenda kujifanya unajua kila mtu wewe??? Kwanza unanijua hadi ufikirie kuwa jamaa katuzidi hela ukoo wetu wote???
Astakafulillah.. .. Kaka hata kama hatukujui ila tz hakuna wakumfikia trump
Unamjua trump? Au we umenza kumjua trump akiwa anagombea tu na hujui alikotekeaKaka una uhakika??? Msipende kukariri maisha ndugu zanguni.
Huyo kwa Kim mchumba tuumwanaume kanena
Unamjua trump? Au we umenza kumjua trump akiwa anagombea tu na hujui alikotekea
Kwaiyo unataka kusema ww pesa zimekutembelea had unazikimbiaHahahahaa., mkuu Trump namjua sana, sio yule bilionea ambaye alifilisika miaka kadhaa nyuma then akacome back strong hata akawa bilionea, au sio huyo??
Kaka watu hatujuani humu ujue..,
Kama unazo basi tusambazie wengine coz vyuma vimekaza kwel kwelHahahahaa., mkuu Trump namjua sana, sio yule bilionea ambaye alifilisika miaka kadhaa nyuma then akacome back strong hata akawa bilionea, au sio huyo??
Kaka watu hatujuani humu ujue..,
Kwaiyo unataka kusema ww pesa zimekutembelea had unazikimbia
Unaujua utajir wa trump?Mkuu jamaa kasema mimi na ukoo wangu. Mimi binafsi simfikii Trump, ila ukileta ukoo wangu Trump hagusi mkuu. Au kwa kuwa ninaongea kiswahili safi basi nachukuliwa poa.
Mbona karudi Ghafka[emoji3]Uzuri Trump anajiamini na ndio maana kaenda huko palipo na tensions za ajabu
4.1 Billion USD, ndio huu au sio???Unaujua utajir wa trump?
Kwaiyo hapo kwenye ukoo wenu kuna utajiri wa kama dola bilion 8.2 ?4.1 Billion USD, ndio huu au sio???
Kwaiyo hapo kwenye ukoo wenu kuna utajiri wa kama dola bilion 8.2 ?4.1 Billion USD, ndio huu au sio???
Kwaiyo hapo kwenye ukoo wenu kuna utajiri wa kama dola bilion 8.2 ?
Nifumbue basi au nije pm ili unieleweshe vizrKaka usilolijua ni sawa na usiku wa giza.