Truth will Remain
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 254
- 126
Mkuu TRUMP yuko sahihi 100% pale U.N wawakilishi wa mataifa wamekalia majungu, fitina, ubaguz na kupoteza muda tu hawafanyi lolote la maana matokeo yake matatizo mbalimbali yanaendelea dunian ya kijamii, kisiasa ,kiusalam na kiutamadun huku hao wakijifanya ni watatuzKweli UN ni genge la kupigia soga za kijinga na wala sio kusolve matatizo ya dunia. TRUMP AMELIGUNDUA HILO NA AMEAHIDI KULISHUGHULIKIA kumbuka zaidi ya 50% ya bajeti ya UN inachangiwa na Marekani, NATAMANI AONDOE HIYO BAJETI HUKO ili dunia nayo iisome namba.
Ahahahaha huyu Dutete ni shidaUN ndio mikakati ya vita inapopangwa. Duterte nae kapigilia msumari kabisaaaa, yeye anasema atalibomoa jengo
Yaani jamaa kaanza na kumtukana UN human right Chief kwa kumuita idiot na kuwaambie wathubutu kumshtaki kama hakuchoma moto UNAhahahaha huyu Dutete ni shida
Ntafurahi kama na magufuli jae akiisoma mamba!!huyu jamaa anataka kusomesha namba dunia yote
Kweli UN ni genge la kupigia soga za kijinga na wala sio kusolve matatizo ya dunia. TRUMP AMELIGUNDUA HILO NA AMEAHIDI KULISHUGHULIKIA kumbuka zaidi ya 50% ya bajeti ya UN inachangiwa na Marekani, NATAMANI AONDOE HIYO BAJETI HUKO ili dunia nayo iisome namba.
Sio ataibomoa, ataichoma moto yote ile.UN ndio mikakati ya vita inapopangwa. Duterte nae kapigilia msumari kabisaaaa, yeye anasema atalibomoa jengo
Mbona wengi na wanaongezeka hahahaSio ataibomoa, ataichoma moto yote ile.
Naona Dunia ya sasa inaelekea kupata marais wapiga ganja
Of course ni genge tuu sound nyingi .Trump kawapa ukweliKweli UN ni genge la kupigia soga za kijinga na wala sio kusolve matatizo ya dunia. TRUMP AMELIGUNDUA HILO NA AMEAHIDI KULISHUGHULIKIA kumbuka zaidi ya 50% ya bajeti ya UN inachangiwa na Marekani, NATAMANI AONDOE HIYO BAJETI HUKO ili dunia nayo iisome namba.
Kweli UN ni genge la kupigia soga za kijinga na wala sio kusolve matatizo ya dunia. TRUMP AMELIGUNDUA HILO NA AMEAHIDI KULISHUGHULIKIA kumbuka zaidi ya 50% ya bajeti ya UN inachangiwa na Marekani, NATAMANI AONDOE HIYO BAJETI HUKO ili dunia nayo iisome namba.
Mkuu umeninukuu vibaya.Mi sipo hukoNtafurahi kama na magufuli jae akiisoma mamba!!