Trump ni noma! Ford cancels Mexico Plant, and invest in the USA

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
D.Trump ni kiboko, hata hajaingia ofisini bado lkn tayari watu wameshaanza kujipanga ili kuendana na kasi yake, jamaa aliyoahidi kwenye kampeni zake yameanza kutekelezwa kwa kasi ya ajabu!

Ford cancels Mexico plant, expands U.S. factory

Obama akicheza na mtoto Ikulu!
Source-Flickr-user-whitehouse-1000x667.jpg
 
Huwezi mfananisha Trump na mchoyo fulani aka kila mtu ataubeba mzigo wake
 
Back
Top Bottom