Trump na twitter, Jakaya na Instagram

Trump na twitter, Jakaya na Instagram

Joined
Mar 9, 2015
Posts
65
Reaction score
85
Rais Trump ameamua kuwasiliana moja kwa moja na wamarekani na dunia nzima kupitia mtandao wa Twitter na kwa kweli hii imewapa tabu sana vyombo vya habari ambavyo zamani vilizowea kutoa breaking news na kadhalika.

Huku kwetu kiongozi mstaafu pekee ambaye hujitahidi sana kutumia mitandao ya kileo kuwasiliana moja kwa moja na wananchi ni the one and only, Rais (semi-retired) Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, aka JK ambaye kwa kusudi kabisa ameamua kujikita kwenye Instagram na kuposti mapicha mbali mbali mengine bila maelezo.

Ombi langu kwake ni kuwa aache tabia ya ku troll kwenye instagram na apost vitu vyenye kuleta tija na bila kusahau kuchallenge. JK ambaye naamini sasa hivi anausoma uzi huu hapa JF, ni vyema akaacha ku post kwa style ya kishabiki na kinazi nazi ba aweke vitu,data stats nk kuhusu masuala ya uchumi, siasa na kijamii.

Naamii kabisa JK angekuwa ni verified member wa JF bas kazi yake ingekuwa kuja humu kuharibu threads kwa kuleta visivyo husika na mada kwa sababu kwa kumfuatilia huko Instagram ana tendecies za professional troll, na kama angekuwa mtu wa mpira na kutokana na haiba na convinsing power aliyonayo bas kamati yake ingekuwa ni namna ya ku sabotage uongozi wa timu kama hauihitaji.

Wito kwa uongozi wa JF, its about time hii forum ikamleta humu na akawa verified poster na awe anatuletea think pieces zake kuhusu masuala kadhaa wa kadhaa.

Kule twitter yuko na anapost vitu vya maana sana, sasa sielewi why kwenye instagram amekuwa professional troll?

Mwisho kabisa, mimi naona JK yuko more intune na zama hizi tulizo nazo kuliko hata Mbunge wetu wa huku Bagamoyo Mh. Ridhwanul Kikwete na bila kusahau vijana wengine, kawashinda kwenye kila kiitu, kuvaa, uptodate, msikivu, hana papara na bila kusahau ni worldly.
 
Niliwahi soma mahali JK hana akaunt Instagram alikataa, Akaunt inayoitwa Jakaya ni ya mmoja wa mtoto wake kama sikosei ni Miraji.

Ila sio mbaya kwa kiongozi kuwa na akaunt Instagram kikubwa aitumie vema.
 
Mbona maelezo ya JK yamekua mengi kuliko ya Trump??
anyway, mara najua JK upo humu unasoma mara JF ni muda sasa wa kumleta humu apost, seriously!!!

Jf imekua inawaita watu siku hizi wajiunge na mtandao wao, halafu kama Twitter anapost vitu vya maana kwanini usiendelee kumfatilia huko ukaacha Instagram??

Mara tena angekua humu angekua ana haribu threads za watu,

Dude what exactly is wrong with you??
 
JK hana hayupo Instagram ameshakanusha mara nyingi sana
 
Da Mage kasema au umeamua kuja na povu kijanja kuja kulimwanga humu
 
Mbona maelezo ya JK yamekua mengi kuliko ya Trump??
anyway, mara najua JK upo humu unasoma mara JF ni muda sasa wa kumleta humu apost, seriously!!!

Jf imekua inawaita watu siku hizi wajiunge na mtandao wao, halafu kama Twitter anapost vitu vya maana kwanini usiendelee kumfatilia huko ukaacha Instagram??

Mara tena angekua humu angekua ana haribu threads za watu,

Dude what exactly is wrong with you??
Inawezekana ameona pengo LA jk huku jf sio mbaya kuwaambia wadau wamualike
 
Lakini kasema angekua humu angekua ana haribu nyuzi za watu kwa kuandika mambo yasioendana na uzi.

Maelezo yake yamejaa kejeli japo mwishon kajifanya kutumia lugha laini.
 
Usimshangae sana mleta Uzi kwa hiyo style yake ..
Pia vyuma kukaza inawezekana ikachangia
 
Watanzania bana...yan ukiwasikiliza unaweza kuwa kichaa....alishaacha maisha ya utumish wa umma so muche afanye anachojiskia....mpangie msure wako
 
Rais Trump ameamua kuwasiliana moja kwa moja na wamarekani na dunia nzima kupitia mtandao wa Twitter na kwa kweli hii imewapa tabu sana vyombo vya habari ambavyo zamani vilizowea kutoa breaking news na kadhalika.

Huku kwetu kiongozi mstaafu pekee ambaye hujitahidi sana kutumia mitandao ya kileo kuwasiliana moja kwa moja na wananchi ni the one and only, Rais (semi-retired) Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, aka JK ambaye kwa kusudi kabisa ameamua kujikita kwenye Instagram na kuposti mapicha mbali mbali mengine bila maelezo.

Ombi langu kwake ni kuwa aache tabia ya ku troll kwenye instagram na apost vitu vyenye kuleta tija na bila kusahau kuchallenge. JK ambaye naamini sasa hivi anausoma uzi huu hapa JF, ni vyema akaacha ku post kwa style ya kishabiki na kinazi nazi ba aweke vitu,data stats nk kuhusu masuala ya uchumi, siasa na kijamii.

Naamii kabisa JK angekuwa ni verified member wa JF bas kazi yake ingekuwa kuja humu kuharibu threads kwa kuleta visivyo husika na mada kwa sababu kwa kumfuatilia huko Instagram ana tendecies za professional troll, na kama angekuwa mtu wa mpira na kutokana na haiba na convinsing power aliyonayo bas kamati yake ingekuwa ni namna ya ku sabotage uongozi wa timu kama hauihitaji.

Wito kwa uongozi wa JF, its about time hii forum ikamleta humu na akawa verified poster na awe anatuletea think pieces zake kuhusu masuala kadhaa wa kadhaa.

Kule twitter yuko na anapost vitu vya maana sana, sasa sielewi why kwenye instagram amekuwa professional troll?

Mwisho kabisa, mimi naona JK yuko more intune na zama hizi tulizo nazo kuliko hata Mbunge wetu wa huku Bagamoyo Mh. Ridhwanul Kikwete na bila kusahau vijana wengine, kawashinda kwenye kila kiitu, kuvaa, uptodate, msikivu, hana papara na bila kusahau ni worldly.
Hivi wewe kwa akili yako unafikri ni watanzania wangapi wanatumia twitter, instagram, kwa ujumla mitandao ya kijamii?.
Ninachojua wengi wamejikita kwenye television shows
 
Back
Top Bottom