Trump hataki lockdown. Vaccine or without vaccines we are back ndio kauli yake ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hio kirusi cha UKIMWI tangu watu waanze kuambukizana mpk leo kimepungua makali?Hata kama tutasema kwamba hakuna Lockdown bado ukweli utabaki palepale kwamba hatuna ujanja na tunaishi kwa neema za Mwenyezi Mungu tu. Lakini sidhani kama msimamo wa Raisi wetu unaweza kuathiri chochote kwenye hili gonjwa.
===
Mkuu labda tunalenga kufanya kitu inaitwa herd immunity... na kuna Wabobezi wa mambo ya virus wanasema... kadri kirusi kinavyoambukizwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine... kwa kawaida... upungua nguvu.
Sasa kwa maelezo hayo, unashindwaje, kuhusisha msimamo wa Rais wetu na kuathiri chochote kwa nia ya kutokomeza janga hili la Corona!?
kama ndiyo hivyo kwanini dunia nzima hawafanyi herd immunity ?Hata kama tutasema kwamba hakuna Lockdown bado ukweli utabaki palepale kwamba hatuna ujanja na tunaishi kwa neema za Mwenyezi Mungu tu. Lakini sidhani kama msimamo wa Raisi wetu unaweza kuathiri chochote kwenye hili gonjwa.
===
Mkuu labda tunalenga kufanya kitu inaitwa herd immunity... na kuna Wabobezi wa mambo ya virus wanasema... kadri kirusi kinavyoambukizwa kutoka mtu mmoja kwenda mwingine... kwa kawaida... upungua nguvu.
Sasa kwa maelezo hayo, unashindwaje, kuhusisha msimamo wa Rais wetu na kuathiri chochote kwa nia ya kutokomeza janga hili la Corona!?
Trump hataki lockdown. Vaccine or without vaccines we are back ndio kauli yake ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani wamewekeza ela nyingi kwenye kutafuta kinga, vaccine ya Corona. Maana vaccine inalipa sana kwao kuliko mbinu hii.kama ndiyo hivyo kwanini dunia nzima hawafanyi herd immunity ?
Sawa mkuu, lakini mwisho wa hii mbinu ya Herd Immunity ni upi ? Kirusi kitaisha nguvu na ugonjwa utakuwa Endemic kama wanavyosema au ugonjwa utapotea kabisa ?Nadhani wamewekeza ela nyingi kwenye kutafuta kinga, vaccine ya Corona. Maana vaccine inalipa sana kwao kuliko mbinu hii.