Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,009
- 17,462
AmeulizaKwahiyo wewe una akili sana kuwashinda CIA?
Rais wa marekan Donald Trump kaamisha makazi yake kutoka New York na kwenda kukaa jimbo la Frolida kwa madai ya kubana matumizi ya tozo la makazi akidai NY tozo ni kubwa sana bora ahamie Frolida ambapo tozo la makazi ni dogo. Swali langu je hapo Frolida kuna Ikulu ya kutosha kukaa Rais (kamà taasisi) pamoja na miundombinu ya usalama? Wajuzi wa masuala ya kimataifa tujuze
Sina uhakika,ila ndio ina ulinzi mkubwa mno,ndege za kawaida haziruhusiwi kupaa pale,inatunguliwaKumbe camp David hiko Frolida? Huwa naisikia ni matata hatari.
Dah.... Salute mjedaFrolida ndipo ilipo camp david ? Kama ni hapo,ile ni ikulu kabisa ina kila kitu,presidential retreat za wamarekani zina kila kitu
Hata korea kim chini ya chumb chake kuna military complex anawezakuanzisha vita ya nuclear akiwa chumbani
Baba swalehe,wala mimi sio mjeda,huwa naangalia huko youtube kuna documentary nyingi tu,wanajeshi na raia waliofika sehemu hizo wanatoa ushuhudaDah.... Salute mjeda
Wakuu, yaani tumeshindwa kabisa kung'amua nini Trump alikuwa anamaanisha?? Kwani Ikulu ya Marekani si ipo Washngton??
Alichokua anamaanisha Trump ni kuhamisha makazi yake binafsi labda na kampuni zake toka New york hadi Florida ila sio kuhamisha white house.
Trump makao makuu ya kampuni yake yapp New York na makazi yake pia yapo new york, anacholalamikia New York ni gharama kubwa za kodi ya makazi ndio maana anahamia Florida.