Trump kawasaida zaidi watu weusi ndani ya miezi sita kuliko alivyofanya Obama kwa miaka minane

Zeni2017

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
1,247
532
OPINION | Why Trump is better for black America than Obama ever was

I would argue that two factors hold back economic progress for blacks: a lack of jobs in inner cities and poor educational opportunities. On both of these, Trump is delivering positive results. The black unemployment rate has fallen by a full percentage point in the last year, black labor force participation is up, and the number of black Americans with a job has risen by 600,000 from last year. Preliminary data show black wages and incomes up since the election.

Ajira zimeongezeka na shule zinaboreshwa. Analaani muandishi kwanini watoto wa Obama wasome private schools wakati watoto wa watu weusi wasome mchafukoge.

Sio mimi ni ni gazeti la kisiasa - The hill.

Hapo hatujaongezea Ben Carson kupewa wizara ya kuwapatia makazi bora watu weusi wenziwe.

Na kuongezwa kwa polisi Chicago kukomesha mauaji na vurugu za wenyewe kwa wenyewe ya watu weusi. Ikumbukwe Chicago ndio hometown ya Obama.
 
obama wa bongo njoo umtetee mwenzio wa majuu kama ni kweli kapigwa bao na trump
 
2d8852bd4a9da50aa9fce96e149360be.jpg


Washington DC Southeast.

dbad9aeebf1bae912f26f240af05ed2b.jpg


Detroit

563cfbca66d73262249cda0a2520b9ba.jpg


48872ea44f6cbaa7a262076ffd2d4947.jpg


Chicago

5de3e39b372cde80d12d5243eb903c5e.jpg


Baltimore

Trump alihoji kwenye kampeni watu weusi hawana cha kupoteza wakimpa yeye kura. Kwanini Obama akapigane Libya kupeleka demokrasia wakati miji yake nyumbani iko hivi?
 
Hiyo Detroit ndio katika miji ambayo Trump ameahidi kuirudisha katika chati kwa kurudisha viwanda.
 
Msipende kuokota okota pumba mitandaoni na kudhani ni ukweli. Kila mpuuzi anaweza kuweka pumba zake mtandaoni na watu wakadhani ni ukweli.

Donald Trump Doesn’t Care About Black People

Unajihashua eti unajua unaungua jua.

Wewe jamaa una ugomvi wa kuku huhitaji sababu.

Nimesoma hiyo makala yote nikagundua vitu viwili.

1. Huijui Marekani.

2. Hujui kingereza.

Ungeijua Marekani ungejua manung'uniko ya hivyo kwa BET (televisheni ya watu weusi) ni kitu cha kawaida.

Ungeijua Marekani ungejua NFL na football si mchezo wa watu weusi peke yao kama huyo mwandishi alivyofanya ieleweke.

Ungejua kingereza ungesoma makala yote ukaelewa habari inayozungumzwa. Alichosema Trump amewaambia wamiliki wa timu za mpira "Mtoto wa mbwa jike (mwanaharamu) yeyote wa NFL atakaeidharau bendera ya Marekani afukuzwe kazi/timu"

Sasa huyu mwanamke wa BET akaleta tafsiri yake ya shombo na utoko kuwa Trump katukana mamama wa wacheza mpira wa NFL. Na kwa sababu wachezaji wengi wa NFL ni weusi basi Trump katukana mama wa watu weusi.

Na wewe unaejiita BAK ukaubeba ujinga huo hivyo hivyo ukauposti hapa.

Hivi ndivyo IQ za watu zinavyopimwa.

Hakuishia hapo huyu mpumbavu wa BET. Kachukulia hilo tusi la Trump linamaanisha Trump hajali uhai wa watu weusi kwa sababu hao wachezaji wanaodharau bendera wanafanya hivyo kupinga polisi kuuwa watu weusi.

Huu ni upuzi kwa sababu Trump ameshatangaza hadharani mipango yake ya kukomesha mauaji kwenye maeneo ya watu weusi. Na hivi tunavyosema Chicago wameshapelekewa askari wapya 100. Kitu ambacho Obama hakuchukua hatua yeyote.

Halafu ukichunguza hiyo black life matters (maisha ya watu weusi yana maana) ni upuzi mtupu. Ni nyodo za watu weusi walipoona wana rais mweusi. Na ndio zilizosababisha sasa wazungu wapumbavu waibuke kiubaguzi kwa sababu sasa rais ni mzungu.

Takwimu zinaonyesha wazungu wanaouliwa na polisi kila mwaka ni wengi mno ukilinganisha na watu weusi wanaouliwa na polisi. Lakini hutasikia wazungu wakilalamika kuwa polisi wanauwa wazungu.

Ukweli unabaki pale pale kuwa kuna maeneo ya watu weusi polisi wakienda wanaenda roho mkononi. Hivyo ni rahisi kupiga risasi kwanza halafu wakahoji baadae. Na ukitizama video zenyewe kuna nyingine utaona mtu anakimbia, mwingine anaminyana na polisi, mwingine anabishana na vitu vya aina hiyo.

Mimi binafsi nimeshapigwa tochi nikiwa barabarani na polisi wa kizungu zaidi ya mara tatu. Nimeongea nao tu kistaarabu hata tiketi ya kulipa faini hawakunipa.
 
Ningemuona wa maana mtu atakaeweza kupinga ninayoyasema badala ya kuleta matusi ya kipumbavu.
 
Jamaa mpumbavu sana sijui anaokota wapi hizi pumba zake. Yaani ni mtu wa kushangaza sana kujifanya anajua mambo ya Marekani kumbe hajui lolote lile kazi ya kuandika uongo wa hali ya juu. Sasa hivi hata wazungu wengi tu waliompigia kura huyu baradhuli mwingine wanajuta kupoteza kura zao kumchagua huyu balaa la Marekani na Dunia.

Huyu yawezekana anaosha vyombo au vyoo Trump tower New Rochelle au Manhattan.
 
Jamaa mpumbavu sana sijui anaokota wapi hizi pumba zake. Yaani ni mtu wa kushangaza sana kujifanya anajua mambo ya Marekani kumbe hajui lolote lile kazi ya kuandika na uongo wa hali ya juu. Sasa hivi hata eazungu wengi tu waliompigia kura huyu baradhuli mwingine wanajuta kupoteza kura zao kumchagua huyu balaa la Marekani na Dunia.
Hajui alipo ndipo tulipo na yawezekana tunajua zaidi kuliko yeye. Sick.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wewe subiri kidogo tu utaisoma namba. Usifikiri unaishi US peke yako, tupo wengi.
Utasubiri sana huyu sio Bush. Hata kwa Bush watu tuliwini. Ni kuwa on top of your game. Usipelekeshwe na fake news.
 
Utasubiri sana huyu sio Bush. Hata kwa Bush watu tuliwini. Ni kuwa on top of your game. Usipelekeshwe na fake news.
Fake news naziishi mimi hivyo tusidanganyane. Mimi nina Empire insurance hivyo sitishiki sijui mwenzangu wewe.
 
Back
Top Bottom