Trump issues executive order to North Korea

Natalia

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2011
Posts
4,324
Reaction score
1,901
Marufuku kutuma pesa au kufanya biashara na North Korea.Bank zote zitakuwa monitored.Trump atakata internet .Secretary of Defense amesema North Korea itageuzwa Kuwa carpet
 
nimekumbuka mwaka ulee NK walivyohack kwenye kampuni kubwa huko marekani, walithubutu wakaweza.

sasa hivi vitisho vyake Trump anafikir NK hajajipanga kwa yote hayo..!!!

dogo Kim anatactics za kihuni sana anaonekana maana anawekewa vikwazo kuchwa leo lakini yumo tu kutest rocket zake, aisee ngoja tuone....ushindani huu wa kibiashara utaishia wapi.
 
Movie bado inaendelea....

Nalendwa izzo fundi25 GoLang


Dogo kajibu mapigo, povu lake sasa..

Kim warns Trump he'll 'PAY DEARLY'
“I am now thinking hard about what response he could have expected when he allowed such eccentric words to trip off his tongue. Whatever Trump might have expected, he will face results beyond his expectation,” Kim said, saying that he would “tame” Trump “with fire.”__WP
 
Trump anampango wa kuingamiza U.S.
 
The vise versa is true Fundi, any attempt from the Uns will be suicidal..
Tuna semaga mzigo mzito apewe mnyamwezi abebe inaelekea hapa mnyamwezi wa pande hizo ni Russian!!!
pia kwenye hii dunia wa China siyo watu wa kuwaamini kabisa wajanja sana pia ni wakarimu sana ukiangalia wanalo ongeaga na matendo yao ni vitu 2 tofauti ila adi ujuwe ni tofauti muda utakuwa umekwisha!!
Trump atakuja kugundua maisha yataendela huko north korea kama kawaida !!
ila akiingia vitani ndio mwisho wa U.S. kuwa mbabe wa dunia bora ajifunike hivyo hivyo na ngozi ya kondoo!!
 
N.Korea kwenye room yenye mitambo ya ku detect makombora yatakayo kuwa yanarushwa na USA hawalali 24/7 hrs, kwenye radar wakiona kitu kisicho eleweka Nuclear Botton inabonyezwa na kuisambaratisha USA na Japan ikizamishwa.......


Ni lazma China na Urus watakuwa wanamfadhili hela kwa siri za kukamilisha project zake za nuclear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…