Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,359
- 4,814
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Marekani na Israel zililazimishwa kuishambulia Iran ili kujilinda kwakuwa Iran ilikuwa inajiandaa kufanya mashambulizi .
Soma Waziri wa Ulinzi wa Israel asema jeshi la nchi hiyo litaua mrithi yoyote wa Ali Khamenei
Trump amesema “Kutokana na jinsi mazungumzo yalivyokuwa yanaendelea nadhani Iran walikuwa wanajiandaa kufanya mashambulizi, na sikutaka hilo litokee”