Jambazi mzoefu kupigwa risasi haiwezi kuwa gundu kama ilivyo kwa kahaba wa Uswahilini kupata maradhi ya ngono! Kwa mambo aliyofanya Trump, alitakiwa awe impeached na kuondoka madarakani zamani sana sema ndo vile tena Republicans walihodhi Senate.
ikifika senate unajua ni kura kiasi gani zinahitajika....vitu vingine fanya researchKuna mtu humu alianzisha uzi na kusema Trump ataanzisha chama chake agombee urais tena., nikamwambia kwa Trump haitawezekana tena hili zengwe la saivi maana yake ni kwamba It's over, He finished., Hao wajumbe wa Sanate nao hoi bin taaban Trump habebeki tena., 5 days is enough for him to remain in the house.
Urais wenyewe amebakiza SIKU 5 tu jamani 🤣🤣🤣🤣🤣ikifika senate unajua ni kura kiasi gani zinahitajika....vitu vingine fanya research
Ndio nashangaa wanahaha na kumu impeach wakati kura hazipo za kutosha za kumuondoa na tayari bado siku ,5 tu aache madaraka.Urais wenyewe amebakiza SIKU 5 tu jamani 🤣🤣🤣🤣🤣
Ben Sanders anasema wanafanya Precedent.Ndio nashangaa wanahaha na kumu impeach wakati kura hazipo za kutosha za kumuondoa na tayari bado siku ,5 tu aache madaraka.
Upinzani wamevurugwa si kidogo
Jambazi mzoefu kupigwa risasi haiwezi kuwa gundu kama ilivyo kwa kahaba wa Uswahilini kupata maradhi ya ngono! Kwa mambo aliyofanya Trump, alitakiwa awe impeached na kuondoka madarakani zamani sana sema ndo vile tena Republicans walihodhi Senate.
Mkuu, ukisema at least naona kama unakosea vilee manake tukisema at least! Yaani haya yaliyotokea US kwangu sio at least bali naiona mifumo imara ya kiutawala na kijamii iliyopo kwenye nchi husika! Trump bado ni rais mwenye mamlaka mengi kama sio yote ya ki-urais lakini mifumo imara ya taifa hilo inambana kufanya chochote atakacho zaidi ya kuishia kupiga yowe kwenye social networks!! Hebu pata picha hapa JF Mheshimiwa Rais wetu angekuwa na verified account anayoitumia regularly halafu apigwe ban kama alivyopigwa Trump! Mbona Kikosi kizima cha polisi na jeshi kingehamia HQ ya JF!! Na kama sio mifumo imara, na hii sheria yao ya kwamba mtu anachaguliwa leo kisha anaapishwa miezi 3 baadae, ingekuwa ndo Afrika, au hata baadhi ya nchi za Asia, Ulaya na America Kusini, am sure maraisi aina ya Trump wangekuwa wanang'ang'ania IkuluAt least Merikani kuna check and balance yenye lengo la kudhibiti mamlaka za Rais na Mawaziri ili wasitumie madaraka yao kufanya wapendalo - Waasisi wa katiba ya Marekani hilo walilion mapema wakalifanyia kazi kwa kuziba mianya yote ya Viongozi kutumia madaraka vibaya.
Mara ngapi tumeshuhudia Mataifa mengi ya Kiafrika viongozi wake wana missuse na ku-abuse their power with impunity mfano: Bokasa, Mobutu Seseko Kuku Mbedju wa Zabanga,Kamuzu Banda nk.
Ukishuhudia matumizi mabaya ya madaraka ndio unakuja gunduwa kwamba, kumbe msemo wa wahenga wa kusema kwamba " ABSOLUTE POWER CORRUPTS ABSOLUTELY" msemo huo hupo sahihi kabisa.
Mkuu, ukisema at least naona kama unakosea vilee manake tukisema at least! Yaani haya yaliyotokea US kwangu sio at least bali naiona mifumo imara ya kiutawala na kijamii iliyopo kwenye nchi husika! Trump bado ni rais mwenye mamlaka mengi kama sio yote ya ki-urais lakini mifumo imara ya taifa hilo inambana kufanya chochote atakacho zaidi ya kuishia kupiga yowe kwenye social networks!! Hebu pata picha hapa JF Mheshimiwa Rais wetu angekuwa na verified account anayoitumia kweli kweli halafu apigwe ban kama alivyopigwa Trump! Mbona Kikosi kizima cha polisi na jeshi kingehamia HQ ya JF!! Na kama sio mifumo imara, na hii sheria yao ya kwamba mtu anachaguliwa leo kisha anaapishwa miezi 3 baadae, ingekuwa ndo Afrika, au hata baadhi ya nchi za Asia, Ulaya na America Kusini, am sure maraisi aina ya Trump wangekuwa wanang'ang'ania Ikulu
Safari hii nimeionea wivu sana mifumo ya US!Bravo, mkuu ni hivi: nilitumia diplomatic language to drive point HOME - kila binadamu mwenye akili timamu knows for certain kwamba American Constitution has no Parallel in the World - ndio maana wako mbali sana kwenye nyanja zote.