CLINTON foundation iliomba deal la kushughulikia hurricane recovery Trump akajibu we have Fema . Kilio Washington Trump vs Establishment , unaambiwa CNN is for sale na ATT wanataka kuinunua ,Trump FCC watapitisha uuzaji kama CNN ita report news. MARUFUKU Kutumia serikali ya trump kulipwa for speech.SERIKALI YA Trump haitolipia matibabu ( subsidies) hakuna kupanda ndege ya serikalini.Wana siasa sasa wanawakati mgumu no connection to Trump .Wanamwogopa unaambiwa . Sasaa hivi hata watoto wake lazima appointment kumuona Trump. .GET A REALLY JOB