Trump hawezi kufanya mambo awezavyo

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
Trump hawezi kufanya mambo awezavyo kama ilivyo kwa baadhi ya madikta uchwara wa bara la afrika
Marekani ukishaapisha kuwa rais lazima uishemu taasisi nyingine lizizoanshishwa kikatiba,hakuna cha taasisi moja ina mizizi ilienda chini zaidi kama huku kwetu Vyombo vyote vya kikatiba vitatekeleza mambo yao kikatiba,sio kimzizi ulioko chini zaidi ya taasisi nyingine
 
Wenzetu wana katiba nzuri, ambayo ina mfanya hata lil wayne akiwa rais siku moja, nchi haita pata shida sana, kwani wana katiba na taasisi imara zinazo chungana kila siku.
Sisi tumeona, katiba yetu ni mbovu, kiasi kwamba siku mtu ambaye hajielewi akichukua madaraka nchi imeisha (na pengine mtu asiye jielewa amekwisha kichukia madaraka sasa) , haiwezekani Rais ana control kila kitu, ana teua kuanzia watendaji wa kata mpaka spika wa bunge na hakuna wa kumhoji, yule ambaye ana mfurahisha rais (kina makonda hao) ndio ana enjoy madaraka, we are doomed to fail kwa mtindo huu
 
Tutakoma,hapo arusha tu maamuzi ya wananchi yanakataliwa,na mratibu wa kuteuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…