Trump has gone AWOL

wakati huko nyuma kaishawavuruga kuwatishia jeshi ?!

Labda abadili msimamo anahisi watu wote wakupelekeshwa kama kule AFRIKA
 
He was elected by using divisive politics. To stay in power, he has to remain true to his followers: white supremacy and other rural whites. I think that's the political calculus behind his inaction.
 
Hivi USA Covid-19 imekwisha? Naona Kaimu Balozi wa USA anavyopiga kelele kama shetani vile! Siku zake zinahesabika.
 
Jamani nyani yuko wapi aje athibitishe kama Trumpet ameji- barricade (na ukuta mpya) baada ya maandamano. Ameona bunker peke yake halitoshi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Unataka atumie mbinu za kibabe kama huyu msukuma mwenzenu. Kule kwa trumpuni kitabu kinaheshimiwa
 
TRY TO MAKE IT IN SIMPLE ENGLISH!

The POTUS
AWOL
imploding.
By-golly,
cooped
political calculus

I am astonished!

Keisha Lance-Bottoms for President... WHO IS THIS?
Potus
President of the united states
 
Unapoandika kwa kiingereza ndio tujue umesoma sana au? Kama lengo lako ni kufikisha ujumbe kwa watanzania je unahakika ulichoandika kimeeleweka kwa watanzania
Kujua kiingereza sio kusoma sana, wapo mambumbu kibao lkn kwa kiingereza hawajambo. Jitambue!
 
Huu uzi umenifurahisha kweli nimecheka mnoo hizi comment za watu.
 
TRY TO MAKE IT IN SIMPLE ENGLISH!

The POTUS
AWOL
imploding.
By-golly,
cooped
political calculus

I am astonished!

Keisha Lance-Bottoms for President... WHO IS THIS?
The POTUS-ni kifupi cha The President of the United States. Hapa bongo tunaweza andika POTURT
 
TRY TO MAKE IT IN SIMPLE ENGLISH!

The POTUS
AWOL
imploding.
By-golly,
cooped
political calculus

I am astonished!

Keisha Lance-Bottoms for President... WHO IS THIS?
Ukiona maelezo yanachelewa, google tu.
 
Trump has no one to blame but himself.

You don’t get nearly 70 million votes and still lose the election!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…