Trump: Elections have consequences

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
5,082
Reaction score
20,806
Rais wa Marekani ni moja ya marais wa aina yake, ni rais anaesema kitu jinsi kilivyo, the president who says it as it is. Hakuna unafiki na bana ukigeugeu.

Baada wa wananchi na wafanyakazi wa idara za seeikali kuu ya marekani kuandamana na kulalamjka kuhusu serekali kufungwa, Trump amesikia kilio chao na amesema ana namna anawaza kuhusu kufungua serikali ila ametaka wananchi waelewe kua mnapokubali kumchagua mtu lazima mkubaliane na matokeo ya uchaguzi wenu. Anasisitiza kua uchaguzi una matokeo ambayo unaweza kuyapenda au usiyapende.
 
Jamaa alikosea kusema kwamba watakao jenga huo ukuta ni wamexico ; sasa anataka fedha za serikali kujenga ukuta; wamemgomea. Raia waishio mipakani nao wanajiandaa kwenda mahakamani ardhi zao zisitumike kujenga ukuta.
 
Duh! Nimeona FBI nao wameamka nae leo! Wanasema wamefungua. Jalada la uchunguzi kuona kama Trump aliwahi kufanya kazi kwa maslahi ya moscow,na pia wanaangalia kama trump si hatari kwa mustakabali wa USA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…