Trump baba wa dunia ya sasa

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,674
Reaction score
37,852
Katoa oda kesi ya Netanyahu sitaki kusikia.

Hakimu kaweweseka Kahairisha Kesi.

Rwanda na Congo wameitwa niwasaidiaje wakajieleza.

Akaulizwa Marekani unapata nini wakajieleza.

Kaahidi miundo mbinu na ndege kadhaa za kubeba malighafi kwenda wanapotaka.

Nasubiria Sudan.
 
NO REFORMS NO ELECTION, Watanzania wanajua vyama vingine nje ya CHADEMA ni Mali ya CCM hivyo uchaguzi bila CHADEMA tafsiri yake ni kwamba CCM inasimama peke yake kwenye uchaguzi na kujipigia kura.NO REFORMS NO ELECTION Hesabu zetu tunazifungia hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…