trump trump trump kila siku trump.
Naona wako kwenye totally lose! ....hakuna njia ya kutokeaJapo simsupport Trump kunavigisuvigisu nyingine either zimeongezewa chumvi ama Baadhi ya Republicans wamekosa busara..
At this stage,kumtoa Trump haitasaidia hata kidogo.Bado wako kwenye lose-lose situation tu.
Huo ndiyo ukweli, unadhani John McCain alikua aki engineer hilo suala kwa msaada kutoka wapi?Kama ameweza kusema kuwa Barack Obama na Bi Clinton ndyo founder wa Islamic state atakuwa mzima kweli.
sasa mbona anaipinga kauli yeke mwenyewe anasema ulikuwa ni mzaha na kuilaumu CNN, Mbona amekuwa mtu ambaye hana msimamo yaani anabadilikabadlikaHuo ndiyo ukweli, unadhani John McCain alikua aki engineer hilo suala kwa msaada kutoka wapi?
Unahitaji kuwa na akili timamu ili kujua anachokisema Trump ni kweli juu ya suala la USA kuanzisha na kuifund ISIS/ISLKama ameweza kusema kuwa Barack Obama na Bi Clinton ndyo founder wa Islamic state atakuwa mzima kweli.
kwani unafikiri ni uwongo , huo ni ukweli mtupu, nilikuwa simpendi trump, lakini sasahivi nampenda baada ya kumuelewa, issue ambayo sio sawa ni ile ya kutaka kuwazuia waislam ambayo sasivi amelegeza msimamoKama ameweza kusema kuwa Barack Obama na Bi Clinton ndyo founder wa Islamic state atakuwa mzima kweli.
Hapo ametetea USA interest tu,lakini ukweli ndio huosasa mbona anaipinga kauli yeke mwenyewe anasema ulikuwa ni mzaha na kuilaumu CNN, Mbona amekuwa mtu ambaye hana msimamo yaani anabadilikabadlika
Trust me hakuna chumvi. Jamaa ni tapeli, incompetent, a liar and a loud know-nothing. Many of us have pointed this out since last year.Japo simsupport Trump kunafigisufigisu nyingine either zimeongezewa chumvi ama Baadhi ya Republicans wamekosa busara..
At this stage,kumtoa Trump haitasaidia hata kidogo.Bado wako kwenye lose-lose situation tu.
I am not too sure huipendi Marekani halafu unampenda Trump kwa sababu gani. I suspect it has to do with one story. You liked one story about Trump.You are completely oblivious of everything else that is so despicable about Trump.Mie Siipendi America ndio sababu tangu awali nampenda Trump
Kasema ukweli, sasa cha ajabu hapo ni nini?. Siku zote msema kweli huchukua na watu wengi hass wale wenye maslai na ule ukweli!Kama ameweza kusema kuwa Barack Obama na Bi Clinton ndyo founder wa Islamic state atakuwa mzima kweli.
Ndio kaongea ukweli ni bora trump ni msema kwekiKama ameweza kusema kuwa Barack Obama na Bi Clinton ndyo founder wa Islamic state atakuwa mzima kweli.