MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 27,576
- 29,990
We ndio walewale!!!Wallah sikutegemea uutetee ushoga, duh mora tunusuru waja wako.
We ndio walewale!!!Wallah sikutegemea uutetee ushoga, duh mora tunusuru waja wako.
Sasa leo nimewaletea mpya ikisema TRUMP amefuta uhamiaji wa wa Islam kutoka Africa mashriki, kati na magharibi toka kwa wole soyinka ili kama alileta kiburi akifikiri ataomba green card tena ya kuishi USA amejikomoa mwenyewe na ameahidi kuweka 'strict law' kwa wahamiaji eg wole soyinkaWatajitokeza humu wale wasemaji na wateteaji wao
Mkuu hapa co jukwaa la siasaNa kweli Chadema itapigwa kila uchaguzi maana haijagundua jinsi ya kujinadi kwa marehemu mpaka wakaja kupiga kura kuichagua. Kwa hilo ccm ni mahiri dunia nzima.
Ingekuwa ni Magufuli amefanya hivyo mgesema demokrasia imekandamizwa na ajira zimetoweka
Ni ukweli usiofichika kuwa kwa miaka mingi USA imefadhili kwa wingi utoaji mimba unaondeshwa na marria stoppes, hii imesababisha binadamu wengi wauawe wakiwa tumboni mwa mama zao na hivyo, tumepoteza watu wengini mno ambao pengine wangukuwa msaada kwa jamii.
sasa Trump amefuta kabisa na kupiga marufuku ujihusishaji wa USA na uzazi wa mpango. Hivyo wale ndugu zetu walikuwa wanaishi kwasababu ya kufanya kazi kwenye haya mashirika watafute ajira zingine, hii ajira ya kunyonga watoto wachanga wasio na hatia ndo upate ada ya kusomesha watoto wako imefika mwisho wake baada ya Wamarekani kuchagua Trump kuwa rais. Jamii nzima inapaswa kumuugna mkono Trump ili kuzuia huu ushetani ulikuwa umeshamiri.
na wale waliokuwa wanapata msaada wa kuendeleza ushoga nao kwa msaada wa obama sasa kwaheri, ndoa ni ya mme na mke tu na siyo mke na mke na mme na mme. Mungu mbariki Trump.
Ubarikiwe ndugu wengi hupendi kurukia mambo wasiyoyajua na kujaza upupu mwingi hapa JF,ni vizuri mtu kabla hujapost kitu kwanza ukifanyie utafiti,nashukuru kwa majibu maridhawa .Kuitaja Marie Stopes wanahusika na utoaji mimba hapa Tanzania wakati sheria za nchi zinakataza utoaji mimba ni upotoshaji mkubwa na ni ukihiyoNi vizuri ukiamua ku post; ujiridhishe na taarifa yako. Sio kweli kuwa Mashirika kama Marie stoppes yatapata shida na hatua aliyochukua Trump. Mosi, sheria hii imekuwa ikifutwa kila kipindi ambacho raisi anatokea Democrat na kurejeshwa kila rais anapotokea Republican. (Clinton aliifuta, Bush akarejesha, Obama aliifuta Trump amerejesha) soma hapa . Pili, hela kutoka marekani ni kwa kiasi kidogo sana ama hakuna kabisa zinazo support miradi ya Abortion globally. kwa nchi yetu, fedha kutoka marekani katika sekta ya afya zina support miradi mikubwa ifuatayo:
1. Malaria - Presidential Malaria initiative (PMI)
2. HIV - US President Emergency Programme for AIDS Relief (PEPFAR)
3. HIV kwa wartoto - The Accelerating Children's HIV/AIDS Treatment (ACT)
4. HIV vijana, wasichana - The Determined, Resilient, Empowered, AIDS-free, Mentored, and Safe Partnership (DREAMS)
5. family planning commodities - USAID
Tatu ukumbuke kuwa kwa sheria ya Tanzania abortion is illegal, unless imetolewa idhini na 'jopo' la madaktari ili kunusuru maisha ya mama mjamzito. Nne fahamu pia kuwa fedha nyingi za miradi ya Marie stoppes pia zinatoka serikali ya Uingereza (DFID/UK AID)
Sasa hivi ndugu kila taifa limeshutuka kutoa misaada kiholela kama zamai, kumbuka USA ikibana ujue hata UK na EU zitashutuka kwasababu kila nchi hasa nchi kubwa inajitahidi isipitwe na nyingine. Lazima EU na UK zitataka kuona ni nini USA inataka kufanyia pesa yake ikiwa imekataa kutoa misaada.Ni vizuri ukiamua ku post; ujiridhishe na taarifa yako. Sio kweli kuwa Mashirika kama Marie stoppes yatapata shida na hatua aliyochukua Trump. Mosi, sheria hii imekuwa ikifutwa kila kipindi ambacho raisi anatokea Democrat na kurejeshwa kila rais anapotokea Republican. (Clinton aliifuta, Bush akarejesha, Obama aliifuta Trump amerejesha) soma hapa . Pili, hela kutoka marekani ni kwa kiasi kidogo sana ama hakuna kabisa zinazo support miradi ya Abortion globally. kwa nchi yetu, fedha kutoka marekani katika sekta ya afya zina support miradi mikubwa ifuatayo:
1. Malaria - Presidential Malaria initiative (PMI)
2. HIV - US President Emergency Programme for AIDS Relief (PEPFAR)
3. HIV kwa wartoto - The Accelerating Children's HIV/AIDS Treatment (ACT)
4. HIV vijana, wasichana - The Determined, Resilient, Empowered, AIDS-free, Mentored, and Safe Partnership (DREAMS)
5. family planning commodities - USAID
Tatu ukumbuke kuwa kwa sheria ya Tanzania abortion is illegal, unless imetolewa idhini na 'jopo' la madaktari ili kunusuru maisha ya mama mjamzito. Nne fahamu pia kuwa fedha nyingi za miradi ya Marie stoppes pia zinatoka serikali ya Uingereza (DFID/UK AID)
Huyu wetu hajajipanga anajiendea tu.Trump anajua anachokifanya ,alishaahidi toka kwenye kampeni!Mmmmmmm kama huyu wetu hapa mwendokasi.......
Bado ujatuinform umelaumu tu! nilifiri ungeujulisha umma unachokifahamu...kwa kufanya hivyo utakuwa hina tofauti na sisi!Kuna kitu nakiona miongoni mwa sisi waTanzania.
Tunapenda sana kurukia vitu hata kama hatuvijui undani wake, move ya Trump kulingana na misingi ya chama chake siyo ya kuishangaa, na hata hivyo haimaanishi kwa kua kafuta basi ndiyo watu wataacha kuwa na uhuru (wa liberty siyo freedom).
Tuache tabia hizo, itapendeza kama tutakua more informed na kila tunachotaka kukishabikia.