Bolshevick
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 355
- 247
sijui kama mme wako kashiba leoHahaha ....bora huko wana akili ....huku kwetu gia zilibadilishiwa angani na watu wakakubali kuzungurusha mikono ...wengine na barabara wakadeki ....kweli elimu, elimu, elimu ....
hahaha. ..wewe naweee...uchaguzi ulishaisha wewe bado unaugua...Hahaha ....bora huko wana akili ....huku kwetu gia zilibadilishiwa angani na watu wakakubali kuzungurusha mikono ...wengine na barabara wakadeki ....kweli elimu, elimu, elimu ....
Salary slip geopolitics siob swala la sera huwa Ni interest kwa bahati mbaya Sana interest za usa hazibadiliki hata awe nani so don't expect huge changes toka kwa Trump.Mimi nataka ashinde yule mwenye uwezo wa kuwambia ukweli viongozi wa kiafrika.
Kumpa wanaweza sana, maana Hilary inaonekana naye ni warmonger kama huyu tu, na tatizo jingine la Republicans ni wahafidhina sana.Huyo jamaa mimi namkubali kinoma yaani kwa maana ni style ya Magufuli wetu, hivyo kama akipita itakuwa poa sana ingawaje ni ngumu sana kuamini kama kweli wanweza kumpa!
Hahaha ...mkuu nipo tu nachora ramani ya siasa zetu ...hahaha. ..wewe naweee...uchaguzi ulishaisha wewe bado unaugua...
mumeo hajambo?Hahaha ...mkuu nipo tu nachora ramani ya siasa zetu ...
Dah ...kuna watu wanaweza kuandika mizaha kama hii nisiwajibu ...ila anapoandika mtu unayefikiri si "wale" ...inafikirisha kidogo ......
mumeo hajambo?
Hahaha ....bora huko wana akili ....huku kwetu gia zilibadilishiwa angani na watu wakakubali kuzungurusha mikono ...wengine na barabara wakadeki ....kweli elimu, elimu, elimu ....
Mama Clinton ana tamaa hatosheki : first lady ,gavana, mtangaza nia 2008, secretary of state. Leo tena anataka Urais mumewe awe first gentleman! Nashauri apumzike alee wajukuu. Maybe for the first time big nation kama USA watapata Rais Grandma.Huwezi kuchukua nchi ikiwa wengi ndani ya chama chako wanakupinga wazi wazi tena hadharani. Hillary akijipanga vizuri kwenye hizi kampeni kuwatumia akina Michelle, Barack, African American, white na Latino celebrities wanaomuunga mkono na kuhakikisha wote wanaomuunga mkono kujitokeza kwa wingi kupiga kura, basi ataichuikua nchi kiulaini na hivyo kuwa mwanamke wa kwanza kuwa Rais USA.