Hata mi ningependa iwe hivo ila kwa kweli Hillary Clinton hataweza kupambana na Trump mbavu kwa mbavu. rais wa marekani atakuwa Trump. Watu wengi wanadhani eti kwa sababu Trump ni racist hivo hawezi kushinda urais ila ki ukweli majority ya wamarekani wengi weupe ni racist in nature na ndio maana unaona Trump anazidi kunyakuwa majimbo kwa ushindi siku hadi siku.Trump atashinda hizi primaries ila urais atausikia tu cnn.
Hiyo siyo wall ya Trump..huwa hampo makini kuchunguza mnapotoa hizo taarifa. Ndiyo maana Nyani Ngabu amejuwa busy kuwakatalieni kuhusu hayo matamko fake ya Trump mnayo sambaza.
Trump is about to win. Let's wait and see. All the best Mkuu.
Hiyo "all the best mkuu" yakk unampa Trump??! π±π±
Acha kujitoa ufahamu, you are black for godsake, au umesahau?! Trump is no a mkuu to any black dickhead niggaπ‘π‘
Afu sio kila comment lazima uandike mkuu, au ndo kuonyesha usomi wa chuo kikuuππ