Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,505
- 108,880
Wivu unawapendeza zaidi watoto wa kike, je wewe ni ke?In one of your stories The Bold (sikumbuki vizuri ni ipi) uliwahi kuandika kuwa ukitaka kumficha mtu kitu hasa Muafrika ....weka kitu katika maandishi..
Sasa kama wewe huwa unazipata hizi stories( na ninaamin kuwandiko unakozitoa)Google,Wikipedia na vyanzo vngn....accept kuwa hizo sources are universal and open to every one....
Nasema haya sababu there is no any copy right aspect yoyote ambayo ume-acknowledge....hivi vitu vipo na vmeshaandikwa years back...they are not original piece of work from you....unless otherwise this is just a pladgiarism like any other pladgiarism.....
Kama unafikiri kuwa amekuibia kazi yake basi kuna kitu lzm kipo nyuma...BTW i like your stories though nakuwa nmeshazpata from other sources

Mkuu ulinuia kuni-quote mimi au umechanganya mafaili kidogo?In one of your stories The Bold (sikumbuki vizuri ni ipi) uliwahi kuandika kuwa ukitaka kumficha mtu kitu hasa Muafrika ....weka kitu katika maandishi..
Sasa kama wewe huwa unazipata hizi stories( na ninaamin kuwandiko unakozitoa)Google,Wikipedia na vyanzo vngn....accept kuwa hizo sources are universal and open to every one....
Nasema haya sababu there is no any copy right aspect yoyote ambayo ume-acknowledge....hivi vitu vipo na vmeshaandikwa years back...they are not original piece of work from you....unless otherwise this is just a pladgiarism like any other pladgiarism.....
Kama unafikiri kuwa amekuibia kazi yake basi kuna kitu lzm kipo nyuma...BTW i like your stories though nakuwa nmeshazpata from other sources
Naomba niwe mfuasi wa simulizi zako mkuu.Hebu kuwa na aibu hata kidogo..
Huo mchezo unaoufanya wewe/mwenzako anayekuibia makala kutoka kwenye group la "Simulizi Za The Bold" alafi unakuja kuziweka huku bila aibu kujifanya za kwako siku zenu zinahesabika.. I'm tracking you down, soon mnakuwa removed from the group.. Ndani ya siku mbili tu nawatumbua..
Shame.!!
Nifah I wanna tell u this,hv ndivyo watu tulivyo machoni na tofauti I know its not the first time to be dissapointed with jf members..right??!!
unajua mwenyewe vzr!!
hebu shikaneni imara Jambo la kheyr lazima liwe na Shari!
kuna mdau kakwambia ujue kutofautisha mapenzi na vitu vingine..Sis darling, thank you.
Thank you for always been here for me.
Thank you for always having my back.
Najua mpenzi wangu,hii sio mara ya kwanza lakini kila dissapointment ina maumivu yake.
Tupo imara sis, In Shaa Allah tutalifikia lengo.
[emoji120] [emoji8]
Card carrying member of the low information crowd[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]Jamanii wengine hatujuii huko mwacheni bold atutafasirie tu
......Kwa mazuzu kama wewe.A lovely gentle comment.....
Kheee kumbe huyo ndo wewe?[emoji23] [emoji23] [emoji23]asante
worry out!!babes...Sis darling, thank you.
Thank you for always been here for me.
Thank you for always having my back.
Najua mpenzi wangu,hii sio mara ya kwanza lakini kila dissapointment ina maumivu yake.
Tupo imara sis, In Shaa Allah tutalifikia lengo.
[emoji120] [emoji8]
sorry hii ya kwangu mm!!kuna mdau kakwambia ujue kutofautisha mapenzi na vitu vingine..
sio kila sehemu unajibebisha tu
[emoji23] [emoji23] akaahh!sio mm Ila nlidandia gari kwa mbele!!Kheee kumbe huyo ndo wewe?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo nawe ushawahi kunakili maandiko ya watu bila kusema ulikoyatoa?Ndio maana nilvo ikuta fb skutoa povu. Nilichill tu hayo ni maarifa tuna share.
Its alryt guyz, hebu tuache maisha yaendelee
Lione kwanza wivu tu pumbaaavuu.kuna mdau kakwambia ujue kutofautisha mapenzi na vitu vingine..
sio kila sehemu unajibebisha tu
Teh teh teh...haya bibie.[emoji23] [emoji23] akaahh!sio mm Ila nlidandia gari kwa mbele!!
so nilikua nachungulia tuuu!!!ukijibu nitoe credit!!!!!!
HahahahaKwa hiyo nawe ushawahi kunakili maandiko ya watu bila kusema ulikoyatoa?
Plagiarism is major scourge.
[emoji23] [emoji23]
Alaaa kumbee....Hahahaha
Yes lakin mi wala sku toa povu nilipo iona fb
Na sikutaka kuandika academic paper so nilikuwa natoa elim tuu. Yaan andiko la jf au whatsup linitor jasho hivo!!
Yes ni muhimu sana na nakubaliana na weweAlaaa kumbee....
Ila attribution ni muhimu sana kwa kweli.
Can't stress it enough.....
Ila pamoja na comments zooooteee....mkuu The Bold umeonesha sign kubwaaA sn ya Maturity.......humjibu mtu kwa maana ya kujibu...all in all ht km ni kutafsiri tuu ambako watu wanabeza...sio kitu kdg.....cha msingi cha kuwauliza wadau....Je,ni kweli kuwa hizi stories anazotafsiri The Bold zingekuwa na utamu ule ule kama ambavyo tungezipata from original source??Usijali Mkuu.. Tuko Pamoja!
no hard feelings..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante sana!Teh teh teh...haya bibie.
Ila wewe nadhani uko mwaminifu.
Sijawahi kukuona popote pale humu JF ukiwa intellectually dishonest.
Massive big up.