Heh hehee! nilizungukwa demu na huyo jamaa? demu yupi huyo?Wewe mkuu ulizungukwa.demu na huyu jamaa nini??
Mtu kaonya tabia hii isijiludie anasababu ya kusema hivi sio utoto..
Hii nakara haijaisha ila alitoa kama mwangaza tuu....movie nzima yaja ila lipumbavu likacopy km ilivyoo
Wewe unadhan wote wanao tetea ni kwamba hawajui walitendalo...unapo sema ni utoto kuwa na udhibitisho kuwa ni utoto kweli
Hii ni haki yake na nakala haijamalizika halafu lilijitu linatoa public hivi kwa mfano asinge sema ni yake,then angeimaliza na'kutoa public si ndio watu kama ww mngemjia juu kuwa kacopy...
Smtymz ni dalili za wivu,WATU.WANA SABABU KWA KILA WAFACHO hata kama haupende wewe
Mna chuki tu.hamna lolote.hauwezi ukakopi kitu cha mwenzio ukaandika mbele za watu.hata kama ni gazeti.jamaa wangemaindi habari ya wiki ijayo unaileta Leo?subiri mwenyewe.aitoe na wewe ndo ukopi.Dah! jamaa kaonesha reaction kubwa kuliko stimuli, mbaya zaidi ni chain ya negative reactions.
Kwenye mind yake keshakariri kila anayempinga ni hater, mtu kama huyo unamwaacha tu.
Kaka.kama ni kazi rahisi andika makala zako tusome.hata shigongo hawezi kukubali huu upuuziHapana mkuu naamini haja jifunza kitu na ata zidisha kuwa hivo alivo.
Yeye anaona kila alicho fanya ni sahihi, pia watu wanao mzunguka wana mjaza upepo
Nadhani hakuwahi kupingwa ana hisi tunao pinga reaction yake tuna wivu.
Bado naona the bold hajazoea kubishiwa, naona washabiki wake pia wanaharibu kiania fulani hapa.
Tatizo ushasema mjinga wewe,...sijui kama tutaelewana.Mna chuki tu.hamna lolote.hauwezi ukakopi kitu cha mwenzio ukaandika mbele za watu.hata kama ni gazeti.jamaa wangemaindi habari ya wiki ijayo unaileta Leo?subiri mwenyewe.aitoe na wewe ndo ukopi.
Kama nisingekuwa namfahamu The bold nisingemkosoa maana nisingejua level ya upeo wake.Mkuu inaoneka leo ndo mara yako ya kwanza kumsoma The bold, kati ya watu wastaarabu na wenye roho nzuri huyu jamaa ni mmoja wapo, mada zake zimejaa elimu juu ulimwwengu ulivyo na mambo yanavyofanyika duniani, watu wengi tumekua tukiongeza ufahamu juu ya mambo ya dunia kupitia makala za huyu jamaa, na ukifatilia makala zake amekua akitoa majibu yenye uelewa mkubwa sana hata kwa yule mtu kichwa maji namna gani ila mwisho wa siku anaelewa. Naweza kusema wewe ndio mwenye roho ya korosho kuliko hata huyo The bold mana hakuna ambacho umewahi kuifundisha JF
Hatuwezi kuelewana maana Mimi cna chuki za kishamba kama wewe.kumdiss mtu kwa chuki.ebu andika wewe makala alafu aje MTU ailete humu.kama utafurahi.Tatizo ushasema mjinga wewe,...sijui kama tutaelewana.
Analia kwenye uzi wote uone nani aliyeanza kudis watu.Hatuwezi kuelewana maana Mimi cna chuki za kishamba kama wewe.kumdiss mtu kwa chuki.ebu andika wewe makala alafu aje MTU ailete humu.kama utafurahi.
Alikuwa na sababu.wewe una sababu ipi ya kumdiss?analilia haki yake.haki miliki.kama unaweza andika makala kama za jamaa utuwekee.Analia kwenye uzi wote uone nani aliyeanza kudis watu.
Asee nashukuru sanaBu'yaka aliwahi kumkosoa kuhusu hayo mambo.
Jamaa [Bu'yaka] alikuwa na hoja ya msingi kabisa ila alichokosea ni namna ya kuiwasilisha.
Binafsi sikuona kama aliiwasilisha vyema. Lakini hoja yake ilikuwa na merit.
Ingia hapo uone: Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse
Good.Asee nashukuru sana
Nimeingia na kumfaham the bold haliso huko
Ila jamaa aliwasilisha jambo la msingi, na mimi nnacho pinga ni kuwa the bold anashindwa ku deal na mambo kama haya
AaahKaka.kama ni kazi rahisi andika makala zako tusome.hata shigongo hawezi kukubali huu upuuzi
Ni sawa kabisaGood.
Hata kama jambo lipo kwenye public domain, kutoa attribution ni good practice.
Kinyume cha hapo itakuwa ni udanganyifu.
Na kutoa attribution ni jambo rahisi sana.
Mimi namkosoa the bold na sina chukiMna chuki tu.hamna lolote.hauwezi ukakopi kitu cha mwenzio ukaandika mbele za watu.hata kama ni gazeti.jamaa wangemaindi habari ya wiki ijayo unaileta Leo?subiri mwenyewe.aitoe na wewe ndo ukopi.
Ametoa Google. Na wewe toa google utuletee.lakini si kukopi kwa mwenzioAaah
Kwa hiyo wewe unacho pinga ni nn, inawezekana kuwa alipinga kazi ni ngumi lakin whatsup sio publisher kama alisha kitupia humo ni public domain, na jf pia iko hivo hivo.
Mkitaka tuulizane hivo tutarudi kuanza ku mhoji yeye je katoa wapi alicho kiandika na mbona haja acknowldge!?
Mbona jambo dogo hili bosi
Huyu aliyeleta mada ndo alifaa umshauri.Mimi namkosoa the bold na sina chuki
Tena ninge mwona ninge mwambia the bold "kuwa na ngozi ngumu, kuwa mvumilivu, halafu unavyo taka wewe utendewe basi watendee na wengine hivo hivo"
Pia ninge mwambia yeye ni binadamu tu hawezi kuwa right muda wote na ninge maliza kwa kumwambia siyo wote wanao msifia wana msaidia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3]Pita kwa Rasi Simba akupige msasa mkuu ,mimi mwenyewe nimeishia la 3B akili sina ,Rasi Simba na Konyagi wakanisaidia sana [emoji38]
Yule toka mwanzo nilikubali kuwa kakosa na nna mkemea kwa hiloHuyu aliyeleta mada ndo alifaa umshauri.
Mimi nikiauma kuleta stori ntaleta na hata sta lalamika hata niki kuta mtu ana ipokelea tuzo ikulu.Ametoa Google. Na wewe toa google utuletee.lakini si kukopi kwa mwenzio
Unaanza lini kuandika hizi makala?Yule toka mwanzo nilikubali kuwa kakosa na nna mkemea kwa hilo
Mimi nikiauma kuleta stori ntaleta na hata sta lalamika hata niki kuta mtu ana ipokelea tuzo ikulu.
Ila all in all nadhan mimi siyo hater the bold akitoa makala ntaisoma na akikosea ntamchana, tz alryt
Chagua major...Havard