EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
Jamani hata mtoto anajua Iran hana ubavu wa kupigana na USA,,hapa ndo namkumbuka G.W Bush angekuwa ashatia timu,,Iran awe makini Republicans hawanaga utani
Hua nahici Iran ana kitu Cha ziada wanachokiogopa wamagharibi. Hivi Ni kwanini toka 79 wamarekani wameshindwa kuivamia Iran directly zaidi ya kumvimbisha sadam kichwabaipige Tehran. Napo hakufanikiwa.Lakini pia hata N.Korea alisema hivyo lakini mpaka sasa kiduku anazidi kupeta na makombora yake.
WANAJUA WANACHOKIFANYA, HAPO LABDA WANATEGEMEA MAPINDUZI ILA VITA NDIO WANAOGOPA MAANA HAWAJUI SIRI YA NDANI YA NCHI, PIA JANA KUNA MBUNGE MMOJA WA MAREKANI ALISHAWAONYA KINA TRAMP KUWA MSITAKE VITA NA IRAN, KWANI MNAWEZA KUPATA MATOKEO KINYUME NA MNAVYOFKIRIA, ALAF ALIWAMBIA TENA KUWA MASHARIKI YA KATI ITAZIDI KUCHAFUAKA NA HAKUTOTULIA TENAHua nahici Iran ana kitu Cha ziada wanachokiogopa wamagharibi. Hivi Ni kwanini toka 79 wamarekani wameshindwa kuivamia Iran directly zaidi ya kumvimbisha sadam kichwabaipige Tehran. Napo hakufanikiwa.
Iran hana uwezo wa kupambana na America kijeshi ngojeni adhoofishwe kwanza akose hata hela ya kununulia chakula kisha mwenyewe ataomba "The round table dialogue" smoothly tena bila vita.
Kwa kukusaidia tu, vile vikwazo vya awali havikuwahi kulenga kukomesha uuzaji wa mafuta/gesi ya Iran "To Zero" kama hivi vya sasa.UTANGOJEA MPAKA KITAKUJA KITUKUU KIKUSAIDIE KUNGIJEA, MAANA NAFKIRI VIKWAZO KWA IRANI UMEVIKUTA TANGIA UZALIWE MKUU
Bado hajaamua kuwa serious naye, kwanza Marekani ndiyo iliiweka hiyo serikali hapo Madarakani baada ya kuimbwa msaada na Uingereza ilipotofautiana na serikali ikiyo kuwepo pale.Hua nahici Iran ana kitu Cha ziada wanachokiogopa wamagharibi. Hivi Ni kwanini toka 79 wamarekani wameshindwa kuivamia Iran directly zaidi ya kumvimbisha sadam kichwabaipige Tehran. Napo hakufanikiwa.
Aaah yule ndio mwanaume bwana hanaga matani kabisa, Bush familly ni kitu ingine
Yule jamaa alikua mwanajeshi na baba yake Bush senior alipigana vita vya 1991 vs Iraq
Yeye Ni nani mpaka atishie watu maisha???kila mtu na nchi yake muacheni kusujudu udhunguHawa akina trump wakisema kuwa "wapo Kwenye Vita ya uchumi" inaleta picha sio akina magufuli anadai anapigania Vita ya uchumi na akina lissu