amemsahau wetu aliyemaliza muda wake
Kuna jamaa aliahidi kwamba atatembea toka Kibaha mpaka posta bila nguo bwana fulani asipochaguliwa kuwa raisi. Baada ya hapo aliingia mitini. Nawe, jihadhari sana. Kosa lilelile la kutokuwa makini na critical katika kupata habari na kuyachunguza mambo ndiyo linalopelekea wewe kujitoa muhanga wa kijinga hivyo. Weka hapa link yoyote inayoonesha kwamba Trump ni mtu serious mwenye msimamo mkali usioyumba. The guy is tapeli.Me nishatamka wazi wazi now tena narudia, kuwa huyu Trump alipokuwa Rais wa Us me nitabadili jinsia yangu serious. Viongozi wenye msimamo mkali me huwa nawapenda sana like our JPM
I give up! It is like a fool's errand, trying to explain this.
I give up! It is like a fool's errand, trying to explain this.
Trump hajasema hayo, watu mnamzushia tuu. Mambo ya Kenya yanamhusu nn?????
Hehehe!! Halafu naona mnavyojibu ina maana kabisa mumeamini eti Trump kasema hayo, wakati imeandikwa na lofa fulani kwenye blog akitafuta traffic. Trump aongee kuhusu binti wa Kenyatta??
Aisei nyie kazi kweli, mtu yeyote anaweza wazuga kiulaini tu.
Trump akiwa president Africa tutaisoma namba...
Hapa JPM anachapa kazi mnalia gadem it