Trump Ampongeza Rais Erdoğan wa Uturuki kwa Ushindi

BabM

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
1,166
Reaction score
956
Katika hali ambayo haikutegemewa Trump kampongeza kwa kushinda kwenye referendum iliyofanyika juzi. Hili halikutegemewa. Nadhani hii vita yake ya maneno na NK imechangia yeye kuwa mpole. Yawezekana pia anapenda watu wababe kama yeye.

Donald Trump has congratulated Turkish President Recep Tayyip Erdogan on his victory in Sunday's referendum that gave him sweeping new powers.

The US president's phone call contrasts with concern by European leaders who have pointed our how the result - 51.4% in favour of the changes - has exposed deep splits in Turkish society.

Mr Erdogan has rejected criticism from international monitors who said he had been favoured by an "unequal campaign".

"Know your place," he told them.

The narrow victory was ruled valid by Turkey's electoral body, despite claims of irregularities by the opposition.

Huu upepo wa udikteta au labda ndo unabii unatimia nini,
huko tuna diktete Trump,
halafu dikteta Durtente,,diktetar kabila,dikteta kim jong un,na sasa dictetor Endorgan.

Hii hali vipii?
 
Hahahaa mkuu mbona hukumalizia kuwataja madikteta
 
Trump haaminiki kabisa. Erdogan atakapoanza kufanya vitu vyake na kusababisha vurugu utamuona Trump atakavyosema. Kauli hii ni yake kama yeye sio kauli ya US. Alimsifia sana Putin wakati wa kampeni sasa je? Bado anamsifia?
 
Trump bwana, nadhani ana damu ya udikteta.Edorgan kapindisha uchaguzi halafu anampongeza.Sawa bwana,ngoja tusubiri matokeo ya tabia zake hizi za umwamba huko Korea ya Kaskazini,Syria,Arfghanistan na kwingineko,maana ni wazi hana tofauti na Reagan na akina Bush.
 
USA inamhitaji sana Turkey same kwa Russia

So lazima stance yake kwa Turkey iwe ya kiungwana ,si USA ndio anashinikiza Turkey awepo EU na Eu walikuwa wanapewa pressure na USA wamjumuishe Turkey

Wasiwasi wangu ni mmoja tu Erdogan aliwatumia barua akina Kerry wam-deport hasimu wake gulen ila walikataa

Je Trump atakubali kum-extradict na hizi sifa anazompa ,anaweza kumpatia gulen
 
Erdogan tokea 2000 anapita kwa kishindo kwenye chaguzi pia refer Yale mapinduzi mamillioni ya RAIA walijitoa barabarani kumtetea

Hata uchaguzi huu ilikuwa wazi Erdogan anapita 100%
 
Huu upepo wa udikteta au labda ndo unabii unatimia nini,
huko tuna diktete Trump,
halafu dikteta Durtente,,diktetar kabila,dikteta kim jong un,na sasa dictetor Endorgan.

Hii hali vipii?
Naona kuna dictator mmoja umemsahau!
 
Turkey kapongezwa sababu ya NATO
Tukumbuke yeye ndio mwenye jeshi kubwa NATO
Pia ikitokea asipate Sapoti ya USA Turkey atamdondokea Russia na kufanya alliance kubwa ambayo itamuumiza US ikitokea lolote lile
Pia Turkey anamiliki military hardwares za US na pia ni mteja mkubwa wa US kwenye vifaa vya kijeshi
 
USA inamhitaji sana Turkey same kwa Russia

So lazima stance yake kwa Turkey iwe ya kiungwana ,si USA ndio anashinikiza Turkey awepo EU na Eu walikuwa wanapewa pressure na USA wamjumuishe Turkey

Wasiwasi wangu ni mmoja tu Erdogan aliwatumia barua akina Kerry wam-deport hasimu wake gulen ila walikataa

Je Trump atakubali kum-extradict na hizi sifa anazompa ,anaweza kumpatia gulen
Lakini kwa busara zaidi Trump angekaa kimya. Sio lazima atoe kauli kuhusu huo uchaguzi. Angenyamaza bila kumpongeza wala kumshutumu Etdogan uhusiano wao usingeathirika. Tatizo la Trumo ni kauli za kubadilika badilika
 
Turkey ni eneo muhimu sana la kimkakati kwa US kuingilia Middle East, Eastern Europe, Southern Russia, the Balkan, Iran, Far East, and the Mediterranean. Akiweka mtego pale hakuna meli sijui nyambizi itakayokatiza kwenda kwenye strategic areas. Hata kama kuna kasoro, hakuwa na jinsi zaidi ya kumpongeza kwa maslahi ya US.
 
Trump haaminiki kabisa. Erdogan atakapoanza kufanya vitu vyake na kusababisha vurugu utamuona Trump atakavyosema. Kauli hii ni yake kama yeye sio kauli ya US. Alimsifia sana Putin wakati wa kampeni sasa je? Bado anamsifia?
Hamsifii. Erdoğan mwenyewe akishakuwa rais kamili itakuwa shughuli
 
Erdogan tokea 2000 anapita kwa kishindo kwenye chaguzi pia refer Yale mapinduzi mamillioni ya RAIA walijitoa barabarani kumtetea

Hata uchaguzi huu ilikuwa wazi Erdogan anapita 100%
Naam anasapoti kubwa sana ya wale waislamu wenye misimamo na wasomi wengi ambao waliikacha nchi yao enzi hizo mapinduzi ya mara kwa mara. Kiuchumi mikakati yake imeeinua sana uturuki
 
Turkey ni eneo muhimu sana la kimkakati kwa US kuingilia Middle East, Eastern Europe, Southern Russia, the Balkan, Iran, Far East, and the Mediterranean. Akiweka mtego pale hakuna meli sijui nyambizi itakayokatiza kwenda kwenye strategic areas. Hata kama kuna kasoro, hakuwa na jinsi zaidi ya kumpongeza kwa maslahi ya US.

Hivi kwa nchi ya kistratejia kama hii pakitokea vita Mturuki ataungana na nani? Maana rais huyu hana nia kabisa ya kujiunga na umoja wa ulaya.
 
Back
Top Bottom