Compare apple with apple mifumo ya taasisi za US na Europe imejengeka kwa Muda mrefu sana na Kuna ufanisi mkubwa katika utendaji kazi wake uku Africa na TZ bado sana ndio maana kuiboresha viongozi wakuu lazima wafanye snap checks mara kwa mara kwa hiyo mkuu na PM wanavyofanya ni sahihi sana
Leo trump amefanya ziara ya ghafla Newyork airport , na kukutana mashine haifanyi kazi, amekasirika na kuamua kumtumbua manager wake, maelezo zaidi yanakuja.
Trump ametembelea bandari na kukuta magari ya hospitali ya Chicago ambayo yaliagizwa kwa jina la ofisi ya Rais iliyopo Washington ambayo Hayana Mwenyewe