Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,498
Rais wa Marekani Donald, ajiita ‘Kaimu Rais wa Venezuela’ baada ya zaidi ya wiki moja tangu jeshi la Marekani kuivamia Venezuela na kumkamata rais wake, Nicolás Maduro.
Kupitia mtandao wake wa Truth Social, Trump alichapisha picha iliyofanana na ukurasa wa Wikipedia, ikionyesha picha yake rasmi na kumtaja kama Rais wa 45 na 47 wa Marekani, huku juu yake ikisema pia kuwa yeye ni Kaimu Rais wa Venezuela.
Hata hivyo, taarifa hiyo haikuonekana kwenye ukurasa halisi wa Trump katika Wikipedia.