Anayebeka ni Iran sio Trump, ebu mwambie Ayatolah amuue mwanajeshi mmoja tu wa US hata awe kuruta alafu uone mrejeshoTrump ni kama jibwa flan ambalo linabweka kupima upepo.....
Kitakachotokea wakiingia kwenye vita na Iran itakua zaidi ya walichokipata VIETNAM, mark my fu**ng words.
Badae hapa msije kusema US ni gaidi kama kawaida yenuTrump ni kama jibwa flan ambalo linabweka kupima upepo.....
Kitakachotokea wakiingia kwenye vita na Iran itakua zaidi ya walichokipata VIETNAM, mark my fu**ng words.
Endelea kujidanganya, Soma hiyoooTrump ni kama jibwa flan ambalo linabweka kupima upepo.....
Kitakachotokea wakiingia kwenye vita na Iran itakua zaidi ya walichokipata VIETNAM, mark my fu**ng words.
'We will hit them harder' mkuu unafikiri ni kipigo gani hicho kama si cha mbwa koko!Mbwa koko hapo ipo wapi ?
America wanajipiga wenyewe kwa undiplomatic na amateurish statement za kiongozi wao..., ila he knows what he is doing playing to his base (wapiga kura wake)
Siraha! aisee,Ni Silaha sio Siraha.
Trump ni kama jibwa flan ambalo linabweka kupima upepo.....
Kitakachotokea wakiingia kwenye vita na Iran itakua zaidi ya walichokipata VIETNAM, mark my fu**ng words.
Mkwara kama huu alisha mpiga kiduku.
Mtu kama wewe ni wakusikitikiwa na kuonewa huruma tu,unakurupuka kuchangia bila hata kujua unachangia kitu gani! Nani kakuambia kua Iran ni waarabu?