Trump achekwa na viongozi ndani ya UN assembly

Trump achekwa na viongozi ndani ya UN assembly

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,969
Trump amegeuka kituko ndani ya UN. Jamaa ametoa speech isiyo na miguu wala kichwa. Kwanza kachelewa.

Acheni umbea wa kipumbavu pro Dems.
 
Duh!! Hasira ya nini jomba. Achekwe Trump kutukanwa tutukanwe sisi. Tazama video hiyo nimekuwekea.
Nimekutukana vipi ndugu? Are you pro Dem? Sijaona Trump akihutubia UN kwenye hiyo video zaidi ya maigizo ya kijinga.
 
Nimekutukana vipi ndugu? Are you pro Dem? Sijaona Trump akihutubia UN kwenye hiyo video zaidi ya maigizo ya kijinga.
Haya tazama na hapa. Halafu mimi siyo raia wa USA siwezi nikawa Dem or whatever.
 
Mkuu hii ni speech ya Trump akiwa UN au ni kipindi cha vichekesho cha The Late Show?? Hiyo speech ya Trump akiwa UN iko wapi??? Ulichokiandika na ulichotuwekea ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Ingekuwa hotuba ya kuchekesha ingekuwa bora. Bali wamemcheka na kumuona hopeless. Mpaka yeye kajishitukia.
Hivi mkuu unaelewa kwamba "clip" uliyoiweka hapa siyo hotuba ya Trump akiwa UN? Clip uliyoiweka hapa ni kipindi cha vichekesho cha Late Show na wanazungumzia sakata la Judge Brett Kavanaugh kuhusu kuhusishwa na skendo za ngono, huku Trump akimtetea Kavanaugh kuwa hana hatia ya kuwanyanyasa wanawake kingono wakati akiwa high school.
 
Duh!! Umeandika kwa urefu sana. Hebu nenda juu kwenye thread ukaangalie.

Au check hapa:
 
Duh!! Umeandika kwa urefu sana. Hebu nenda juu kwenye thread ukaangalie.

Au check hapa:

Bado sijaona mahali Trump akichekwa zaidi ya kuona Stephen Colbert akifanya "vichekesho" kwa kutumia "speech" za Trump. Stephen anaongezea chumvi kwenye speech za Trump ili kuwachekesha watu kwenye kipindi chake.
 
Eti dunia inamcheka Trump??? Dunia iko wapi ya kuicheka USA? Ungewataja hao watu(watu fulani) wanaicheka dunia
 
Duh!! Hasira ya nini jomba. Achekwe Trump kutukanwa tutukanwe sisi. Tazama video hiyo nimekuwekea.
Dah wachangiaji fulani wamewaka kwa mada uliyoweka,kiukweli nilikua naangalia direct,kupitia aljazeera,NI KWELI UNAVYOSEMA wajumbe wa mkutano walimcheka,hii ni tofauti na kuwa aliongea point ya kuchekesha,inaonesha alifanya kituko amabcho sio cha kawaida,watu wanaokubishia wana mahaba na US,ikitokea siku moja kiongozi wa nchi hiyo akakutwa mafichoni anabwia unga watasema alikua anaonja tu,ila akikutwa Kim Jon Un aanatazama unga hata mbele ya waandishi wa habari watasema alikua anabwia.
 
Eti dunia inamcheka Trump??? Dunia iko wapi ya kuicheka USA? Ungewataja hao watu(watu fulani) wanaicheka dunia
Naona hata hukutaka kusoma na kuelewa kilichoandikwa kabla ya kuchangia,
Mada inasema dunia yamcheka Trump ikimaanisha mkutano wa UN hujumuisha washiriki wa dunia nzima,amechekwa Trump na sio US kama mada inavyojieleza japo Trump ni US president.
 
Back
Top Bottom