Mabwana zako wamejituta makundi kwa makundi wanakimbilia uchina.
Kwa ego ya Trump ujue ameshikwa sana na hana jinsi ndio maana anajipeleka uchina mwenyewe.
Kama angekuwa yeye ndo mwenye upper hand hata usingemuona anaangaika.
Watu wanamponda huyo mleta mada,kutwa hua anaitukana China,Inaonekana wewe na baadhi wengine, mna uelewa mdogo sana kwenye masuala ya mahusiano ya kimataifa.
Kama Rais wa Marekani aliwahi kuja mpaka Tanzania, kuna nini cha ajabu Rais wa Marekani kwenda China? Rais wa China alikwishaenda USA akakutana na Rais Joe Biden, na alitoa mwaliko kwa Rais wa Marekani kwenda kutembelea China.
Kwa kuzingatia uwekezaji wa makamouni ya Marekani yaliyowekeza China, na kwa kuzingatia mauzo ya China nchini Marekani, ni mwendawazimu pekee atakayeshangaa Rais wa Marekani kutembelea China, au Rais wa China kutembelea Marekani.
Ukishayajua haya, huwezi kuja na hoja za kijinga juu ya kwa nini Rais wa Marekani akatembelee China au Rais wa China kutembelea Marekani, ni afadhali ushangae Rais wa Marekani kutembelea Tanzania:
1. More than 70,000 U.S. companies have invested and operated in China, with total U.S. direct investment valued at $122.89 billion by 2024.
2. In 2024, Chinese goods exports to the United States amounted to approximately $432 billion to $439 billion.
Compare to:
In 2024, China's exports to Africa totaled approximately $171–$179 billion
Ukweli ni kwamba aheri kwa China kulikosa soko lote la bara la Afrika kuliko kulikosa soko la USA.
🤣🤣🤣🤣Mzee wa Uharo,
Ingekua rais wa China ndio ameenda US ungekuja kusema hapa kua China kasalimu amri.
Ndivyo mnavyodanganyana huko Madrasa?Mzee wa Uharo naona viongozi wote wa Ulaya na Marekani wanatubu kwa China😂
Alianza Waziri Mkuu wa Canada kisha Waziri Mkuu wa Uingereza kisha Waziri Mkuu wa Ujerumani kisha Waziri Mkuu wa Spain, sasa hivi bashaa wako Trump😂
Mzee wa uharo huna jipya,Ndivyo mnavyodanganyana huko Madrasa?
Sawa mkuu naenda uko MMUSo umefuata Nini huku sibora ubaki kwenye Jukwaa lenu la MMU au chitchat
Huo ni UHARO wako tu lakini wenzako wanakula bata kama kawaidaMzee wa Uharo naona viongozi wote wa Ulaya na Marekani wanatubu kwa China😂
Alianza Waziri Mkuu wa Canada kisha Waziri Mkuu wa Uingereza kisha Waziri Mkuu wa Ujerumani kisha Waziri Mkuu wa Spain, sasa hivi bashaa wako Trump😂
Sawa nitakupikia maana inaonyesha unapenda sana kupakuliwaOndoka huku haraka nenda katupikie chakula huko!!