Trump aagiza mabalozi wote wa Obama waachie nyadhifa mara moja

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
19,466
2,000
Rais mtarajiwa wa Marekani, bwana Trump ameamua kuhakikisha kuondoa chochote chenye harufu ya rais anayeondoka bwana Obama. Ametoa agizo mabalozi wote walioteuliwa na Obama kuachia nyadhifa zao kabla siku yake ya kuapishwa.

REUTERS
Donald Trump has taken a strict stance against leaving any of President Obama’s political appointees in place as he prepares to take office on Jan. 20.
(Reuters) - U.S. President-elect Donald Trump’s transition team has issued a blanket mandate requiring politically appointed ambassadors installed by President Barack Obama to leave their posts by Inauguration Day, the U.S. ambassador to New Zealand said on Friday.

“I will be departing on January 20th,” Ambassador Mark Gilbert said in a Twitter message to Reuters.

The mandate was issued “without exceptions” through an order sent in a State Department cable on Dec. 23, Gilbert said.

He was confirming a report in the New York Times, which quoted diplomatic sources as saying previous U.S. administrations, from both major political parties, have traditionally granted extensions to allow a few ambassadors, particularly those with school-age children, to remain in place for weeks or months.

Officials from the State Department and Trump’s transition team were was not immediately available for comment.

The order threatens to leave the United States without Senate-confirmed envoys for months in critical nations like Germany, Canada and Britain, the New York Times reported.

A senior Trump transition official told the newspaper there was no ill will in the move, describing it as a simple matter of ensuring Obama’s overseas envoys leave the government on schedule, just as thousands of political aides at the White House and in federal agencies must do.

Trump has taken a strict stance against leaving any of Obama’s political appointees in place as he prepares to take office on Jan. 20, aiming to break up many of his predecessor’s signature foreign and domestic policy achievements, the newspaper said.

Diplomats told New York Times the order has thrown their personal lives into a tailspin, leaving them scrambling to secure living arrangements and acquire visas allowing them to stay in their countries so their children can remain in school.

U.S. Envoys Appointed By Obama Asked To Quit By Inauguration Day | The Huffington Post
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
21,549

Safi sana, Obama ni Raisi msanii USA haijawahi kupata, binafsi namkubali sana D.Trump na namchukia sana Obama na Clinton na sababu kubwa ni kumuua Gadafi, fvck Obama and Clinton!

Muda wa michezo umekwisha sasa, pisha watu wapige kazi!
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
24,934
2,000
Trump ni mfanyabiashara mkubwa anataka serikali ya wafanyabiashra ambapo wafanyabiashara ndio wanashika nafasi nyingi kwa maslahi ya biashara zaidi yao binafsi na ya marekani.Tutarajie mabalozi wafanyabiashara sio wale waajiriwa wa serikali (civil servants) .Trump inaelekea uongozi wake hataki mtu aliyekuwa civil servant kuwemo kwenye baraza la mawaziri au kuwa balozi.

Wafanyakazi (CIVIL SERVANTS) chini ya TRUMP watakuwa third class citizens
 
py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,469
2,000
Trump ni mfanyabiashara mkubwa anataka serikali ya wafanyabiashra ambapo wafanyabiashara ndio wanashika nafasi nyingi kwa maslahi ya biashara zaidi yao binafsi na ya marekani.Tutarajie mabalozi wafanyabiashara sio wale waajiriwa wa serikali (civil servants) .Trump inaelekea uongozi wake hataki mtu aliyekuwa civil servant kuwemo kwenye baraza la mawaziri au kuwa balozi.

Wafanyakazi (CIVIL SERBVANTS) chini ya TRUMP watakuwa third class citizens
Wala siyo hvyo

Trump lazima achague mabalozi wanaoendana na sera zake

Uchawahi kuona kada wa ukawa akateuliwa kuwa balozi

Kwenye mambo ya diplomatic huwezi kuteua wafanyabiashara ase ujinga lazima experienced rep diplomatics wanaoendana na sera zake atawateua
 
lelooo

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
419
500
Trump ni mfanyabiashara mkubwa anataka serikali ya wafanyabiashra ambapo wafanyabiashara ndio wanashika nafasi nyingi kwa maslahi ya biashara zaidi yao binafsi na ya marekani.Tutarajie mabalozi wafanyabiashara sio wale waajiriwa wa serikali (civil servants) .Trump inaelekea uongozi wake hataki mtu aliyekuwa civil servant kuwemo kwenye baraza la mawaziri au kuwa balozi.

Wafanyakazi (CIVIL SERBVANTS) chini ya TRUMP watakuwa third class citizens
Nani kakuambia kuwa balozi ni civil servant?balozi ni wanasiasa wa vyama vilivyomo madarakani nchi yoyote ile.fatilia vizur mara nyingi wakishinda democratic hupanga safu yao ya mabalozi vile vile republican pia.sima tuu huwa inachukua mda kuwaondoa.lakin huyu ameamua wote kuwapiga chini mabalozi.lakin maofisa watendaji wa balozi mbalimbali wanaendelea na nyadhifa zao.
 
EWGM's

JF-Expert Member
Jul 22, 2013
1,523
2,000
Safi sana, Obama ni Raisi msanii USA haijawahi kupata, binafsi namkubali sana D.Trump na namchukia sana Obama na Clinton na sababu kubwa ni kumuua Gadafi, fvck Obama and Clinton!

Muda wa michezo umekwisha sasa, pisha watu wapige kazi!

UWONGO ULIOTUKUKA HUU

ACHA UWONGO CHUKI YAKO ISIFIKE MPAKA KUJITUNGIA UWONGO NDUGU YANGU

HIVI KWA MFANO UNAONGEA MAMBO YA UWONGO NA HUNA USHAIDI NAYO INAKUSAIDIA NINI?

WEWE MMATUMBI NA MAUONGO YA KUHUSU MAREKANI YANAKUSAIDIA NINI HIVI?
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,646
2,000
Kama anautenda hivi mti mbichi (Raia wenziwe) itakuwaje kwa mti mkavu (jecha)

Muda uta speak
 
Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,182
2,000
Safi sana, Obama ni Raisi msanii USA haijawahi kupata, binafsi namkubali sana D.Trump na namchukia sana Obama na Clinton na sababu kubwa ni kumuua Gadafi, fvck Obama and Clinton!

Muda wa michezo umekwisha sasa, pisha watu wapige kazi!
Tuache kucheza na watoto? Labda kama hukujaliwa
 
nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
7,824
2,000
"The Star-Spangled Banner"......Is Back

Hebu cheki baadhi ya maneno haya katika wimbo wao wa Taifa,yalivyokaa ki Mkrawa ndio utapata jibu.

Then conquer we must, when our cause it is just,
And this be our motto - "In God is our trust,"
And the star-spangled banner
in triumph shall wave
O'er the land of the free and the home of the brave.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
24,934
2,000
Nani kakuambia kuwa balozi ni civil servant.
Wako ambao hupanda vyeo wakiwa waajiriwa wa wizara ya mambo ya nje.Balozi wa marekani Tanzania kwa sasa huyo mama hapo chini alianza kama junior officer wizara ya nje ya marekani hadi kufikia kuteuliwa kuwa balozi wa marekani Tanzania.Ni mama mzuri kaivia ndani ya civil service ya marekani.

realoctopus

JF-Expert Member
May 11, 2014
3,218
2,000

UWONGO ULIOTUKUKA HUU

ACHA UWONGO CHUKI YAKO ISIFIKE MPAKA KUJITUNGIA UWONGO NDUGU YANGU

HIVI KWA MFANO UNAONGEA MAMBO YA UWONGO NA HUNA USHAIDI NAYO INAKUSAIDIA NINI?

WEWE MMATUMBI NA MAUONGO YA KUHUSU MAREKANI YANAKUSAIDIA NINI HIVI?
Hee huyu vipi????
 
Pakawa

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
6,353
2,000
Mbio za sakafuni huishia ukingoni. Anajikaanga. Safari bado ni ndefu analeta jeuri hao hao ndio watamtoa kwenye huo ufalme. America imejivuruga kuliko maelezo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom