Trump aagiza mabalozi wote wa Obama waachie nyadhifa mara moja

Ila naamini huyu Jamaa, Congress na Senate watam-impeach tu, ni swala la muda.

Kitendo cha kutoamini au kutilia shaka taarifa za Ujasusi za vyombo vyako mwenyewe eti unaamini vyombo vya ujasusi vya Urusi ni kuidharirisha marekani.
Wewe unataka eti AKIRI alisaidiwa na URUSI kushinda?! Tumia akili kidogo tu kufikiria..!
 
Back
Top Bottom