True story

best v

New Member
Joined
Sep 30, 2026
Posts
2
Reaction score
19
Nmekumbuka zamani baba alikuwa anasema yeye ali ubwabwa apikiwe ugali sikuwa najua maana yake..Leo nmetambua jana ilibidi niseme nmeshiba ili watoto wale iilihali njaa inaniuma aisee kuwa baba sio mchezo mungu atubariki watafutaji wote tunaotafuta ..unaamka hasubui ujui unaelekea wapi na jioni inabidi urudi na chochote ..ukikaa pekeako unalia bdae unanyamaza unaamka unaendelea na safari ..wababa Mungu atutunze
 
New member kwani huko shule hamfundishwi kuandika kwa usahihi?

Pole wenzako wajifunze kutowahi majukumu kuteseka sio sifa! Hapo pamoja na changamoto zote utakuta mkeo ana mimba nyingine!

Apana mkuu tunawatt wawil
 
Huyu tusimlegezee ili ajue hakuna mtoto anakuja na ridhiki yake, ridhiki zote anatafuta baba, apunguze speed ya kuzaaπŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡
Nashauri wengine wajifunze kupitia hapa na wasizae kabisa mkuu, maana kuzaa ni hasara na kunamaliza pesa za kulabata...😜
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…