True story: Mshangazi (jimama)

Baki na ukimwi wako, kwanza hii story yakutengeneza, mengi umeyasema sio ya kweli,
 
Hovyo kweli yaani kabisa uko bize na mmama wa mbagala sijui chamazi huko majimatitu tena kwenye pub ambayo nje kumejaa tope la mvua! Bora ingekuwa mikocheni hivi au mbezi beach mkutane sehem nzuri kama village supermarket au benki
 
Mkuu huwa wanatoka kwao majimatitu na kwenda baa za mikocheni na mbezi na huwa wanajipodoa hasa unaweza ukadhani ni mbezi au mokocheni. Tehetehetehe
 
Huyo mwanajeshi nae yumo humu JF na ameshaisoma post yako sasa ngoja upambane na hali yako.Tehetehetehe.
 
Shenzi sana huyu mleta Uzi
Utatuleteaje story za kivulana sisi
 
Kweli ww ni mwanaume wa dar eti ukaagiza castle lite bia ya kike hiyo
 
Hovyo kweli yaani kabisa uko bize na mmama wa mbagala sijui chamazi huko majimatitu tena kwenye pub ambayo nje kumejaa tope la mvua! Bora ingekuwa mikocheni hivi au mbezi beach mkutane sehem nzuri kama village supermarket au benki
Acha madhereu mkuu,ina maana wa mbagala ndo hatuhusiki na hili jukwaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…