Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,532
- 8,280
- Thread starter
-
- #461
We jamaaa ni msahaulifu. Nzehe kasema usitoke wewe unatoka,[emoji28][emoji28][emoji28]...80
Moto niliouingia? Unamaanisha nini.
Tuyaache hayo utajionea mwenyewe siku ikifika, alinikatisha.
Kiukweli mimi yule simpendi kamwe, na sijui ilikuwaje tu mpaka nikajikuta nipo nae, nilisema.
Basi sawa, asante kwa msaada wako, ngoja niwahi nikaanue maharage yasinyeshewe mvua, alisema baada ya kuwa tumemaliza kumenya karanga na sasa wingu zito lilitanda kuashiria huenda muda si mrefu ingenyesha mvua.
Nilimwomba akimaliza kuanua maharage arudi pale kwani kuna jambo la muhimu nilitaka kumwambia.
Twende unisaidie kuanua kisha turudi wote, aliniomba nami kwakuwa nilikuwa na langu moyoni nilimkubalia na kumtaka anipe ile ndoo iliyokuwa na karanga, alinipatia kisha tukaanza kuondoka, sikufunga mlango wa nyumba niliyokuwa nalala kwani nilijua hatutokawia kurudi.
Tulipiga hatua kuelekea kwao yunge mdogo, lakini mara tulipofika tu kwenye mpaka wa kiwanja cha babu na chakina yunge mdogo nilisikia mlango wa nyumba niliyokuwa nalala umejibamiza kwa nguvu paa!
Niligeuka haraka lakini kwa mshangao mlango ulikuwa wazi.!
...45
Tunamechi weekend hii hapa hapa nyumbani, hivyo nimepita kuchangisha mchele, maharagwe ama fedha kwa ajili ya wachezaji wetu, alijibu yule jamaa ambae baadae nilimtambua kama captain wa timu ya kijiji!
Fedha kiasi gani? Nilimwuliza.
Kiasi chochote utachojisikia kutoa, alijibu.
Nilinyanyuka na kuingia getoni kwangu, nilichukua shilingi elfu kumi na kurudi pale mwembeni ambapo niliwakuta wanaendelea kuyashambulia yale mahindi, nilimkabidhi na kumtaka akate elfu 5, jamaa alifurahi mno, yaani wengi walikua wanatoa 500 na wengine 1000, hivyo jamaa alishukuru sana.
Vipi kaka naweza pia nikajiunga na timu yenu? Niliuliza.
karibu sana, unacheza namba ngapi?
Nakanyaga wings zote kaka, nilijinadi.
Basi karibu kwenye mazoezi leo jioni, tuanaanza saa 10 kamili.
Nilimjibu nitahudhuria bila kuchelewa.
Aliaga na kuondoka nikabaki na yunge ambae alianza kusunda sania lale ili aondoke.
Kwahio hela yote hiyo unatoa mchango wa mpira? Alinitupia kijembe,
Mimi: napenda sana mpira, yaani tena nimefurahi kupata nafasi hii!
WaoooooJane Msowoya nakuelewa sana.
Umetegewa tego sasa vita mpya inaanza...83
Nilistaajabu nilipomgusisha tu kwenye kitumbua cha yunge mdogo, manyanda wangu alisinyaa ghafla na kulegea kabisa.
Mhh! Hali gani tena hii! Nilishangaa, nikastaajabu wakati huu yunge mdogo akingoja kusulubiwa tu kwani yeye pia hakuwa ameguswa na mwanume kwa maelezo yake, hilo hata mimi nililisadiki baada yakuwa nimefanya utangulizi kabla ya kumchomekea singe yunge mdogo.
Nilitoka kifuani pake nikiwaza nimekutwa na nini nisiweze kumchomeka manyanda kitumbuani mwa yunge mdogo? Wakati huu alijifunika shuka kusitiri maungo yake, lakini haikuisha hata dakika moja baada ya kuwa nimemwachia yunge mdogo, mtalimbo ulidinda tena kwa hasira, yaani mpaka niliisikia misuli kuuma, nilimshika na kumlaza tena yunge mdogo ili nimchomekee singe, hakuwa mbishi alila na kungoja suluba, nilimkamata manyanda na kumpeleka kwa haraka kunako kibuyu cha yunge mdogo, ile nagusa mlango tu, jamaa chali cha mende, mashine iligoma haswa, nilitoka kifuani mwake huku aibu na fedheha vikinikumba kwa pamoja.
Vp tena mwenzetu nini tatzo?
uongo njoo ukweli njoo utam kolea....83
Nilistaajabu nilipomgusisha tu kwenye kitumbua cha yunge mdogo, manyanda wangu alisinyaa ghafla na kulegea kabisa.
Sio Manyanda anaitwa Mandonga mtu kazi! Mandoga akashindwa kupiga ngumi.Nilistaajabu nilipomgusisha tu kwenye kitumbua cha yunge mdogo, manyanda wangu alisinyaa ghafla na kulegea kabisa.
Ni kweli mkuu, yaani humu tuna makundi ya watu ambao hakuna kitu washaona katika maisha yao kiasi chakupelekea kutambua na kuamini kuwa nguvu za giza zipo na zinatesa jamii kubwa.wengine hapa tunazo shuhuda kubwa na si za kusimuliwa nizakujionea kwa macho na ukianza kuzisimlia hapa walokulia magetini nakuja kuishi kitaa (uswahilini), kamwe hawawezi amini watasema ni story za kutunga ila ukweli haya mambo yapo na yanatendeka katika jamii zetu.Ukitaka kujua humu kuna watu hawana akili hata ya kuvukia barabara siku moja njoo na story yako unayotamani kushare na jamii
Utasikia Muongo, umecopy sio wewe, chai hii dah
Mtu anakwambia nimelala na njaa wewe unamwambia "Muongo" ulikuwepo?
Kuna siku nilitamani kushare na jamii na kuwaelezea simulizi flani jinsi nilivyofanikiwa kumkamata mwizi wa mitandaoni na zile njia nilizotumia na wao wezi njia wanazotumia
Yanii mimi mwenyewe ndio nimemkamata huyo Mwizi ,
Na Rb ninayo mfukoni anatokea mtu humu hata hana anachokijua anakwambia tu chai hio Muongo, umecopy wewe
Mara nyingi tunakosa kupata taarifa mbali mabli kwa sababu ya watu wachache wenye Tabia za utoto utoto na za kijinga zinawakatisha tamaa wasimuliaji
Binafsi nikifunga hadith au simulizi humu nikiona alijanipendeza naondoka bila ya kuaga sio kucomment vimaneno vya kuwakera wengine wanaofatilia
Ndivyo alivyo huyo tabia yakeHebu weka na wewe hadithi yako ya ukweli tuone au unataka tuanze kimchangia Hela kabisa kwa mkasa wake huu maksusi ili uumie zaidi??!
Au tumtafutie publisher aandike kitabu!?? Au apewe ulinzi? Kwani wewe unaumizwa na nn na uongo huo!!
Sasa hapa sijui ni yunge mkubwa ndio anamlaza manyanda au ni babu[emoji1][emoji1][emoji1]...83
Nilistaajabu nilipomgusisha tu kwenye kitumbua cha yunge mdogo, manyanda wangu alisinyaa ghafla na kulegea kabisa.
Mhh! Hali gani tena hii! Nilishangaa, nikastaajabu wakati huu yunge mdogo akingoja kusulubiwa tu kwani yeye pia hakuwa ameguswa na mwanume kwa maelezo yake, hilo hata mimi nililisadiki baada yakuwa nimefanya utangulizi kabla ya kumchomekea singe yunge mdogo.
Nilitoka kifuani pake nikiwaza nimekutwa na nini nisiweze kumchomeka manyanda kitumbuani mwa yunge mdogo? Wakati huu alijifunika shuka kusitiri maungo yake, lakini haikuisha hata dakika moja baada ya kuwa nimemwachia yunge mdogo, mtalimbo ulidinda tena kwa hasira, yaani mpaka niliisikia misuli kuuma, nilimshika na kumlaza tena yunge mdogo ili nimchomekee singe, hakuwa mbishi alila na kungoja suluba, nilimkamata manyanda na kumpeleka kwa haraka kunako kibuyu cha yunge mdogo, ile nagusa mlango tu, jamaa chali cha mende, mashine iligoma haswa, nilitoka kifuani mwake huku aibu na fedheha vikinikumba kwa pamoja.
Vp tena mwenzetu nini tatzo?
Aache kupotosha umma
Kama nisingekuwa nasoma comments hata hii yakwako nisingeiona.