Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,532
- 8,280
- Thread starter
-
- #181
Pointi 3 muhimu! tunajua timu yetu imepoteza makali, lakini bado tunamatamanio ya kutinga robo final.Hongera mtani. Lakini ungemfunga tatu ningekuona wa maana zaidi.
🤣🤣🤣 shusha mambo mzee. ule uzi pendwa wa usiku wa manane uamie huku....51
Nilisikia sauti ya yule msichana, niligeuka nimwone,
Ajabu na kweli, alikuwa yeye amebeba ndoo ya maji kichwani!
Huyu kapitia wapi! Niliwaza, lakini pia maji kachota muda gani? Hapa simngojei,
Niliongeza kasi ya kuzichapa hatua kwa uharaka, lakini bado aliendelea kunisihi nimngojee,
Sikutaka kumwelewa,
Ebu ona hiki, nimekuletea wewe, alichimba mkwara, lakini sikutaka kumwelewa.
Nilikaza mwendo sikutaka kumsikiliza,
Sasa unaenda wapi huko? Nilistuka! Mhh! Nipo wapi hapa? Nilishangaa, nilikua nimekivuka kisima na kuendelea mbele, nilishangaa, wakati nasikia sauti yake akiniomba nimsubiri, nilikuwa nimeshakaribia nyumbani na nilianza kuuona ule mwembe wa nyumbani kwa babu, sasa imekuaje nimefika huku? Nilimkata jicho la mwana ukome yule msichana na kumwambia,
Sipendi upumbavu mnaonifanyia, mbona wasichana wadogo mnakuwa wanga tena waziwazi bila kujificha?
Nani kakuroga? Aliniuliza.
Sasa nimefikaje hapa wakati nilikuwa nakaribia nyumbani? Nilimwuliza wakati akiwa kanifikia.
Ebu geuka,
Niligeuka haraka..!
[emoji81][emoji81][emoji81]oyaaa hii skills gani tena ni mpya au .Kijijini Kuna kanisa?
Jifunze RIGHTING SKILLS ili uwe unaandika aya ndefu ndefu.
Katika hii simulizi jina Yesu lazima liwepo.sio unataja wachawi tu
Yamchongo hiyo[emoji81][emoji81][emoji81]oyaaa hii skills gani tena ni mpya au .
Unajifunza uchawi bila kujuaEndelea mkuu hvyo hvyo napenda story za ULONZI
Tupia mkuu tupo pamoja
Wala hukuzingua mkuu,japo mie jana kuna demu alikuja kulala geto nikamuahidi sitamgusa..ila nkashangaa tu tunatoka jasho wote huku akikatikia mbolo sjui hata ikikuajeutoto mkuu! Na mikwara alokua ananipiga mwanzo nikataka nimwoneshe kwamba sina pupa nae, kingine nilitaka kumjua zaidi maana mtu anakwambia nitakurinda dhidi ya wachawi na hali ni msichana mdogo vile, au nikubali nilizingu kweli.
Mwanaume gani anaridhikaga na demu mmoja??Ningefurahi Kama ungeridhika na Yunge mkubwa tu.
Achana nao watoto wadogo hawaMmeanza wagagaikoko!
Umenichekesha sana 'leo mapema tu mmh,Tuendelee
Nikiwa nimekaa pale nje naota moto, ghafla nikasikia yowe kali, watu walipiga kelee kwanguvu, yowe lilikuwa kali sana, fisiii, fisiii, dah! Bibi alitoka jikoni haraka huku ameshika kiuno,
Leo mapema tu? Mhh? Alisema bibi huku akitega sikio kusikiliza kwa makini,
Kwani vipi tena bibi? Nilimwuliza,
Kuna fisi anatusumbuaga sana, anakamata mifugo usiku watu wakiwa wamelala, ila leo naona amefata windo lake mapema tu, alijibu bibi,
Sasa bibi unaonaje nikielekea huko nikaone kinachoendelea maana si vyema kukaatu ili hali nimesikia yowe na watu baadhi wameniona, hivyo haitapendeza nikae tu, nilimtahadhalisha bibi,
Hee! Wewe kumbe umekua babu yangu, siamini kama maneno hayo unayaongea wewe, alitania bibi na kuongeza, baki hapa usiku huu uende wapi? kaa hapo ule, naona njaa inataka kukuua,
Sawa bibi, nilimjibu huku nikirudi kukaa kwenye kiti. Bibi aliingia jikoni na kuleta maji kwenye birika kubwa la shaba, glasi mbili za shaba (bilauli) na kikalai kidogo kwaajili ya kunawia mikono,
Karibu chakula mme wangu
Hatari sana.Wala hukuzingua mkuu,japo mie jana kuna demu alikuja kulala geto nikamuahidi sitamgusa..ila nkashangaa tu tunatoka jasho wote huku akikatikia mbolo sjui hata ikikuaje
Babaaa wewe tiririka tu naona jamaa anachapa mwendo tu Hana muda na kuandika hii ni sehemu ya ngapi [emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu andika sehemu ya ngapi ili iwe rahisi kukumbuka tumeishia wapi sawaa
pettymagambo alisema yeye sio muandishi mzuri na Hana mpango wa kuwa muandishi.Babaaa wewe tiririka tu naona jamaa anachapa mwendo tu Hana muda na kuandika hii ni sehemu ya ngapi [emoji28][emoji28][emoji28]