BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,983
Au ndugu ndio mambo ya usichokielewa hujaandikiwa!?Nimecheka sana aiseeee. Hivi ni sisi ndio tunaharibu uzi wa watu? Wenyewe walianza Kikristo na wakawa wanaendelea vizuri tuuu sie tunaleta mambo ya Buza hukooo.
Ujumbe ndio huo.., kama unawako sawa.Sizani kama unauwezo wa kutafsiri mafumbo kwa njia ya picha. Itazame tena kuna ujumbe kwenye picha hapo hujauona bado. Alafu ludi hapa tujadli
Kuna watu wanaiaminisha dunia kuwa mwanaume lazima ufungwe jela, yani huko jela unayoyapitia ndiyo yanakufanya uwe mwanaume kweli.
Uhalifu lisingekuwa swala la kujivunia, mlipaswa mjutie uhalifi na vifungo vyenu, badala ya kuvifanya vionekane ni sehemu ya ushujaa katika mapito ya mafanikio yenu.
Si ungi mkono hoja.
have you been in jail, not to jail.But what the picture mean? Have you been to jail?
Hata kiswahili kinatumika. Kikristo nimetumia zaman sana kimeanza kupotea.
Japo mi ni ke nipo hapa kwa niaba ya mume wangu. Anapitia wakati mgumu sana kwa sasa. Naumia sana ila naamini hili nalo litapita.
Mi nilifikiri ungeweka picha ya mtu akibeba zege, kwani lazima uwe mhalifu ndio utajirike?
__________________________________________
IG: @marble_na_granite
Halafu kikristo chenyewe kigumu kweli kweli, hapa nimepitisha masaa mawili kusoma comments na dictionary yangu pembeni.
Hiki kikristo phonetically kiko sawa ila semantically sasa ndio mtihani wenyewe. Anyways ngoja tusubiri mwendelezo.
Watu wa kwenye huu uzi wanaongea kizungu cha wapi
Kwani kubeba zege ndio njia ya kutajirika?, au mbeba zege ndio mtu pekee anayehustle?Mi nilifikiri ungeweka picha ya mtu akibeba zege, kwani lazima uwe mhalifu ndio utajirike?
__________________________________________
IG: @marble_na_granite
FeelAbsolutely, sometimes u wake up and fill like this whole world is playing against me, we hv 2 be strong
Well said and after that you can here a girl said, " I want a man with new model car, a luxury house and good job". She did not know how you struggle to get such things.Before being successful a lot of us we passed through very hard and critical situations. Be strong and trust hard time trains you to be a man.
View attachment 1248467
My self 2016 in foreign country