True love

Angetoa wasifu wake kwanza.yeye mwenyewe hana kazi halafu anamtaka mwenye kazi
hajui wenye kazi wanawataka wafanyakazi wenzao.
Kazi mpaka amalize chuo. Labda anatafuta sponsor huwezi jua
 
Umesema ukweli mkuu kuna watu hapa wana miaka 3 nabado wanatafta , hadi unajiuliza wana tatzo gani j
 
Umegegedwa mpaka kulegea then unakuja jf kutafuta mchumba kaaaaa
 
Mimi ni msichana wa miaka 24 nipo chuo kwa sasa, natafuta mchumba awe na kazi yake ila siyo mwalimu asiwe mfupi wala mrefu mengine tutawasiliana baada ya kufahamiana.

Karibu PM
wewe unatafuta mchumba au pesa za mchumba! huwezi kupata wewe mbona huna iweje unataka mwenye nacho?
 
Headline tu inavutia, lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…