UMBWE1
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 739
- 657
Unagundua mtu anacheat lakin bado unamsamehee,unatumai atabadirika,kitu hatari zaidi kwenye mahusiano ni kuoa mtu kwa sababu unampenda kunauwezekano mkubwa ndoa ikaja kusumbua mbele ya safari kwa sababu love inadhalau kuangalia mambo mengine ya msingi,ni vizuri kuyachochea mapenzi ukishakuwa ndani ya ndoa.love is not a vital on making decision who to marry