Ndio maisha mkuu tunaumia kazini ,kwenye familia,kwenye mahusiano,kwenye urafiki,kwenye kula na kunywa ,kwenye kucheza n.k binadamu na maumivu ni pande mbili za sarafu Moja haya epukiki
Wanaumia hata wanaochelewa kuingia tena wote TU aweza kuwa mwanaume au mwanamke kama una nafasi nzuri OA Wala usikawie yakienda vibaya jua ni maisha hakuna ajuae kesho oa sasa
Wanaumia hata wanaochelewa kuingia tena wote TU aweza kuwa mwanaume au mwanamke kama una nafasi nzuri OA Wala usikawie yakienda vibaya jua ni maisha hakuna ajuae kesho oa sasa
Maumiv utakayopitia kwenye usingle ni bora kuliko ukiwa kwenye ndoa especially kama tayari una watoto, it's like unakua umeharibu destiny yako. Trust me, hasa kwa sisi wanaume.
Wanaoumia ni wale wanaohisi kuwa wapo nyuma kimaisha just because society ina wapressure wawe kwenye ndoa. Huu ni mtego ambao wengi umewanasa na wakaishia kujutia baadae... Kuoa sio vibay ila lazma uwe enough kwanza financially, socially na mentally bila hivyo ni sawa na kujiongezea mzigo usio na ulazma.
Facts; but if marriage has nothing to do with love, how would someone marry someone without being in love with them? I think marriage and love are compatible but should be with the right person!