Oscar Wissa Senior Member Joined Sep 5, 2018 Posts 128 Reaction score 196 Apr 17, 2026 #1 Freemason wamechukua sifa zote za Yesu wamempa Shetani Wanamwita The Supreme Being The Prince of The Word The Great Architecture Wamefanya makosa makubwa Katika Biblia (Wakolosai 1:15-18) Mtume Paulo anapofafanua kuwa Yesu ni nani hasa anasema; Yeye ni Mfano wa Mungu asiyeonekana Yeye ni Mungu muumbaji Yeye ni kichwa cha Kanisa Nawaambieni hakika mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa Yohana 16:11
Freemason wamechukua sifa zote za Yesu wamempa Shetani Wanamwita The Supreme Being The Prince of The Word The Great Architecture Wamefanya makosa makubwa Katika Biblia (Wakolosai 1:15-18) Mtume Paulo anapofafanua kuwa Yesu ni nani hasa anasema; Yeye ni Mfano wa Mungu asiyeonekana Yeye ni Mungu muumbaji Yeye ni kichwa cha Kanisa Nawaambieni hakika mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa Yohana 16:11