Death penalty ni hukumu amabyo ni controversial sana hasa pale inapokuwa imetokana na ushahidi controversial kama wa circumstantial evidence na huu wa selected individuals ambao inakuwa ni vigumu kuprove kama kweli wanayosema ni sahihi. Sioni ubaya wa death penalty iwapo kuna ushahidi wa wazi kuwa mtuhumiwa alifanya kosa la mauaji, ila inapokuwa kesi imetokana na ushahidi wa kuokoteza kama wa huyu jamaa, basi inaniwia vigumu sana kusapoti hukumu ya aina hii kwa sababu hugeuka kuwa ya kinyama. Ninajua kesi kadhaa huko Florida na Texas ambako watu walionyongwa walikuja gundulika baadaye kuwa hawakuwa wametenda makosa waliyohukumiwa nayo, ila sasa ikawa hawawezi kuachiwa huru na kurudishiwa uhai wao tena!!