Leo nimetunukiwa trophy ya uraibu,ni mafanikio kwangu humu jf.Naombeni muongozo wenu nyie vibabu vya jf mliokaa sana jamvini mpaka vikalio vimeota sugu,je ni trophy gani yafuata baada ya hii?
Ninasema ni mafanikio kwasababu wengine bado wana vitrophy kama hiki hapa chini