TRL Tatizo behewa au reli?

Joined
Sep 30, 2014
Posts
10
Reaction score
4
Tatizo ni mabehewa au tatizo ni njia(reli)?...ndani ya siku moja mabehewa 11 ya treni mbili tofauti yaanguka.7 treni ya kawaida na ma4 delux train.
 
Tatizo ni reli si mabehewa!
 
Reli ni ya mwaka gani mpaka leo haijafanyiwa matengenezo makubwa? Treni nazo zinachangia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…