saidi kalindura
Member
- Jan 26, 2015
- 41
- 13
Habari wana jamvi humu.siku kadhaa sasa zimepita tangu hawa watu wa reli ya umeme sgr wapite mtaani kwetu na kutuwekea alama ya kutakiwa nyumba zetu tubomowe kwa kuwa mradi wa huu wa train ya umeme unapita kwenye maeneo yetu hapa pugu station na kwa maelezo yao hatutakiwi kufanya jambo lolote kwenye maeneo waliyoweka alama zao mpaka tukishalipwa tuondoke.Cha kushangaza tangu siku wameweka hizo alama mpaka leo hakuna taarifa yoyote ambayo wameleta kwamba labda kitu gani kinafanyika tunashindwa kufanya mambo ya maendeleo baada ya zuio lile.Sisi wakazi wa maeneo haya tunaomba TRL watujuze kitu gani kinaendelea na kama ikiwezekana waje kufanya mkutano na sisi wakazi ili tuwe tunajuwa hatima yetu maana saa hizi tumekaa tu.Kwenye kibanda changu nilikuwa na wapangaji wanne wote wameondoka baada ya kutaka kodi yao warudishiwe..Nawasilisha.Mwenye kujuwa chochote tafadhali nijuze kwa niaba ya wenzangu.
hahaaaaaHUNA HAKI YA KUTUULIZA SISI WEWE..SISI KAZI YETU NI KUKUONDOA WAKATI WOWOTE TUNAPOAMUA HIVYO USITUPANGIE.HUJUI ARDHI YOTE NI YA SERIKALI NA WEWE NI MPANGAJI TU
anza kuhama ndugu.. tena hapo kwenu kama kuna mwenye bendera ama shina la chadema liondoeni mapema kabisa kabla mzee shithole hajatuma vijana wake hapo na kupaweka flatHabari wana jamvi humu.siku kadhaa sasa zimepita tangu hawa watu wa reli ya umeme sgr wapite mtaani kwetu na kutuwekea alama ya kutakiwa nyumba zetu tubomowe kwa kuwa mradi wa huu wa train ya umeme unapita kwenye maeneo yetu hapa pugu station na kwa maelezo yao hatutakiwi kufanya jambo lolote kwenye maeneo waliyoweka alama zao mpaka tukishalipwa tuondoke.Cha kushangaza tangu siku wameweka hizo alama mpaka leo hakuna taarifa yoyote ambayo wameleta kwamba labda kitu gani kinafanyika tunashindwa kufanya mambo ya maendeleo baada ya zuio lile.Sisi wakazi wa maeneo haya tunaomba TRL watujuze kitu gani kinaendelea na kama ikiwezekana waje kufanya mkutano na sisi wakazi ili tuwe tunajuwa hatima yetu maana saa hizi tumekaa tu.Kwenye kibanda changu nilikuwa na wapangaji wanne wote wameondoka baada ya kutaka kodi yao warudishiwe..Nawasilisha.Mwenye kujuwa chochote tafadhali nijuze kwa niaba ya wenzangu.
Ipo tumeeda hawana jibu la kinachoendelea.Maeneo hayo hakuna ofisi ya Serikali za mitaa?
mtafute afsa mtendaji anaweza kukupa dondoo miradi ya serikali inachelewa sn kulipa fidia mi nilikaa miaka sita kupata fidiaHabari wana jamvi humu.siku kadhaa sasa zimepita tangu hawa watu wa reli ya umeme sgr wapite mtaani kwetu na kutuwekea alama ya kutakiwa nyumba zetu tubomowe kwa kuwa mradi wa huu wa train ya umeme unapita kwenye maeneo yetu hapa pugu station na kwa maelezo yao hatutakiwi kufanya jambo lolote kwenye maeneo waliyoweka alama zao mpaka tukishalipwa tuondoke.
Cha kushangaza tangu siku wameweka hizo alama mpaka leo hakuna taarifa yoyote ambayo wameleta kwamba labda kitu gani kinafanyika tunashindwa kufanya mambo ya maendeleo baada ya zuio lile.
Sisi wakazi wa maeneo haya tunaomba TRL watujuze kitu gani kinaendelea na kama ikiwezekana waje kufanya mkutano na sisi wakazi ili tuwe tunajuwa hatima yetu maana saa hizi tumekaa tu.
Kwenye kibanda changu nilikuwa na wapangaji wanne wote wameondoka baada ya kutaka kodi yao warudishiwe.
Nawasilisha.
Mwenye kujua chochote tafadhali nijuze kwa niaba ya wenzangu.
Asante kwa ushauri uwe na siku njema.mtafute afsa mtendaji anaweza kukupa dondoo miradi ya serikali inachelewa sn kulipa fidia mi nilikaa miaka sita kupata fidia
Asante kwa ushauli na uwe na siku njema.mtafute afsa mtendaji anaweza kukupa dondoo miradi ya serikali inachelewa sn kulipa fidia mi nilikaa miaka sita kupata fidia
Sawa mkuu nimekusoma.Nendeni ofisini kwao maana nauli ni 500 tu