Kitope
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 236
- 58
Habari za mshughuli wakuu, kwa kuwakilisha tu kama kuna mtu anashughulika na lorry za mchanga, kokoto na kadhalika maeneo ya mwasonga kigamboni aje hapa kuna kazi zinahitaji trip za mchanga (lorry aina ya kipisi) ndio priority. mwenye shughuli hii tafadhali tuwasiliane hapa ili apewe tenda. Site ipo km 4 kutoka Dar-es-salaam Zoo hufiki mwasonga kwenyewe. nawakilisha na kuwatakia shughuli njema.