Endapo rasimu ya katiba mpya itapitishwa na wananchi na hivyo kuwepo kwa serikali tatu basi kitakachoiua serikali ya muungano ni rasilimali fedha!
Bajeti ya Tanzania bara ni takribani trilioni 16 na bajeti ya Zanzibar ni pungufu ya bilioni 700! Kwa serikali zote mbili fedha hizi hazitoshi!
Sasa je serikali hizi mbili zitamudu kuchangia serikali ya muungano pamoja na taasisi za kimataifa ambazo serikali hizi zitakuwa wanachama?! Na mchango wa serikali hizi mbili kwa serikali ya muungano utakuwaje?!
Kwa vyo vyote vile mchango ukiwa sawa Zanzibar haitaweza! na Kama Tanzania bara(Tanganyika) itachangia zaidi basi Zanzibar itajikuta inamezwa jambo ambalo Zanzibar haitakubali!
Hakika sasa ni wazi kifo cha muungano kinaandaliwa na kwamba kuna uwezekano mkubwa serikali ya muungano ikafa miaka michache baada ya kuundwa!!
Msisahau mapato ya Zbar kwa Mwaka ni 120Bil!
trilion 16= billion 16,000=million 16,000,000
idadi ya watanganyika 44million
ukigawa unapata wastani wa 36,3636.Tsh kwa kila mtu
watanganika wamewazidi wazanzibar kwa mara 31
trilion 0.7 =700bilion=million700,000
idadi ya wazanzibar 1.4million
ukigawa unapata wastani wa 500,000 Tsh kwa kila mtu
sasa tunaukataa muungano kihesabu huenda mkaelewa zanzibar ikiwa nje ya muungano itakusanya kodi zote yenyewe ikiwemo 50$ za visa,leseni za mabenki,kodi ya ushuru wa bidhaa,kodi ya mapato,ushuru wa forodha,leseni za viwanda nk....tunategemea baada ya miaka miwili bajeti ya znz itafikia 1trillion pamoja namikopo na misaada ya nje ambayo hatutakumbana na vikwazo nya bara tena. kuna ongezeko la gharama za uendeshaji lkn hilo litakua ndani ni mzunguko wa kiuchumi ndani fedha itakayotumika kulipa itazunguka ndani. hatujaaza kuingia kwenye mafuta na gesi iliyojazana baharini ambayo mliitaka sana watanganyika...tushafanya hesabu mnatuchelewesha na jinchi lenu kubwa sana limejaa ufisadiiiii
ZANZIBAR BILA MUUNGANO INAWEZEKANA
huu ni uwongo..angalia bajeti ya muungano kuna fedha hii wapi inayopelekwa zanzibar ....nambie ni wizara gani kifungu kipi kwenye bajeti 2013/14 ya tanzania. nikikiona sito pinga tena muungano na nitaazisha vuguvugu la wapenda muungano...Pole sana , Hujuhi kuwa katika hizo 0.7 tril. 0.68 zinatoka bara kama msaada na nyinyi makusanyo yenu ni 0.12 tril kwa mwaka.
Uchumi wa kila mtu 500,000/= muutoe wapi? Mngekuwa nao huo saa hizi si mgeshanzisha vita.
Pia kumbuka kuna Wazanzibari wengi wameajiriwa huku bara katika sekta ambazo si za muungano!huu ni uwongo..angalia bajeti ya muungano kuna fedha hii wapi inayopelekwa zanzibar ....nambie ni wizara gani kifungu kipi kwenye bajeti 2013/14 ya tanzania. nikikiona sito pinga tena muungano na nitaazisha vuguvugu la wapenda muungano...
thubutu kwa mapenzi gani mliyonayo kwa zanzibar rabda iwe ni mishahara ya majeshi ya kikoloni mloyaweka znz.
mm sikatai ukweli niambie niangalie haraka
Pia kumbuka kuna Wazanzibari wengi wameajiriwa huku bara katika sekta ambazo si za muungano!
Hatujawahi kuwa na bajeti ya namna hiyo mkuu
Niliposikia hili la bn 700 I was shocked. Sasa katika hali kama hii tumeshawabeba sana halafu hawana shukrani badala yake wanatulaumu? Let them go. When they are gone tutajipanga upya kama Tanganyika na kufurahia maisha.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums