Trevor Noah on Black Killing

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
21,035
64,850
Huyu jamaa anajisoma sana,
Kaongelea ukweli kuhusu jamii ya Kimarekani.
Tena kafanya uchanganuzi mzuri bila kuwa na upendeleo wowote ule.
Hiki ni kitu ambacho watu wengi hatujakikungumzia bila unafiki na ushabiki.
Haya mambo yanaudhi sana japo kiukweli Weusi hawakutakiwa kuuawa na wala polisi hawakutakiwa kuuawa.
Uelewa wa Trevor Noah ni mkubwa sana. And for this i'm proud of him.
Naimejisikia vizuri sana kumsikiliza huyu jamaa.

CC: Masunga Maziku , kui , Dotworld , Consigliere , MSEZA MKULU , descarte , UncleBen , FisadiKuu , melkiorysaranga , mchambawima1

Yep! long time mkuu! Trevor ni Genius ila alinikasilisha siku moja tu, pale alipo anza kumchana Trump kwa kumfananisha eti na viongozi wa kiafrica kanakwamba Africa yote inamatatizo ya uongozi!
 
Noah's hilarious! :)

Ni kweli hata nimependa alivyoongelea hili swala bila upendeleo wa upande wowote, when it comes to race. Na ametolea mfano mzuri when the white kid got shot while he was laying down.

Lakini hii kitu ya kupishana na police, it's good to keep in mind that everytime someone fights the police, they fight with authority. And even with Laws in place to protect a normal citizen, the outcome is never that good on their side. It's better to avoid any kind of confrontation with the police especially in a country with such racial diversity.

"Weusi hawakutakiwa kuuwawa na polisi hawakutakiwa kuuwawa"
Right on MALCOM.
As the French Philosopher Bernard Levy put it, "Black lives matter, and Police lives matter too"
 
Back
Top Bottom